Mwanaume mzuri ni yupi kwa mwanamke

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,466
8,281
Ipo hivii kumekuwa na utofauti mkubwa Sana wa madaraja ya wanaume kutokana wanawake wanavyo tutofautisha.

Ili mwanamke akusifie kwamba wewe ni mwanaume mzuri na unafaa kuanzisha naye mahusiano basi unatakiwa uwe na sifa hizi.

1: Uache kujipenda wewe na uanze kumpenda yeye yaani Kama ulikua unanunua suruali mbili kila mwezi Basi uanze kununua suruali moja kila mwaka na hela unazo zipata uishie kumpa yeye apendezee kwa kisingizio Cha mwanaume sio kupendeza Ila ni majukumu, na wanaume wengi Sana wamenasa hapa kutokana na kuzidiwa akili na wake hao Basi wamejikuta hadi wanaziba suruali vilaka ili wanawake wapendeze.

2: Ukubali kuonewa yaani muda wote kubali kuonewa kihisia kwa kuogopa kuitwa unagubu ili tu kulinda hisia za mwanamke uzizijerui. Ndio maana hapa wanawake wanapata Hadi jeuri ya kuwaambia kuwa mwanaume anatangulia kufa. Na kweli kwa upumbavu wa baadhi ya wanaume wanakufa kweli kwa kuhifadhi maudhi na sumu .

Aaaaah...... Tusichoshane bana kuorodhesha misababu miiingi ....kifupi tu ili uitwe mwanaume mzuri inatakiwa uwe punda wa mwanamke.
 
Feminist watakuja kukuweka sawa
 
Mwenye hofu na Mungu

Yuko tayari kwa lolote juu ya mwanamke aliye nae

Kujali, kudhamini, Upendo kwa kila mtu

Usafi muhimu mahala popote alipo

Kupenda familia pande zote mbili

Mpambanaji mwenye kusubutu asiye na moyo wa kakata tamaa anapojaribu jambo

Yapo mengi ,safari bado ndefu.....

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nimefikilia sana mwisho nimepata majibu.

Mbumbumbu na aowe mbumbumbu mwenzie, na wenye akili waowane full stop

Ukikosa unabaki Single Forever 😃 unakua tu unashitua mitambo mala moja moja
 
Mwenye hofu na Mungu

Yuko tayari kwa lolote juu ya mwanamke aliye nae

Kujali, kudhamini, Upendo kwa kila mtu

Usafi muhimu mahala popote alipo

Kupenda familia pande zote mbili

Mpambanaji mwenye kusubutu asiye na moyo wa kakata tamaa anapojaribu jambo

Yapo mengi ,safari bado ndefu.....

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Yote hayo akiwa nayo ni kwa ajiri yake mwenyewe sio kwa ajiri ya wanawake
 
Nimefikilia sana mwisho nimepata majibu.

Mbumbumbu na aowe mbumbumbu mwenzie, na wenye akili waowane full stop

Ukikosa unabaki Single Forever unakua tu unashitua mitambo mala moja moja
Mzee kukubali kuwa mtumwa wa wanawake na kubeba mizigo ya wanawake haimaanishi wewe ndio unaakili mkuu
 
Mimi na wewe tupo miongoni mwa walio kosa.
Sheria ni moja, beba zigo likileta usumbufu achana nalo au rudisha kwao. 😃😃😃
 
Mwenye hofu na Mungu

Yuko tayari kwa lolote juu ya mwanamke aliye nae

Kujali, kudhamini, Upendo kwa kila mtu

Usafi muhimu mahala popote alipo

Kupenda familia pande zote mbili

Mpambanaji mwenye kusubutu asiye na moyo wa kakata tamaa anapojaribu jambo

Yapo mengi ,safari bado ndefu.....

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Bado ni ubinafsi huu!

Maana vyote vimeegemea kwa masilahi ya mwanamke na siyo mwanaume.

Mfano hapo umetoa;

Awe tayari Kwa lolote juu ya mwanamke aliye nae.

Mpambanaji,anae thubutu na asiye kata tamaa Yote hayo ni Kwa ajiri ya masilahi ya mwanamke

Apende pande zote za familia,Huu ni uongo.Mwanamke anapenda familia yake ipendwe zaidi kuliko familia ya mwanaume.Hata kujengea Nyumba wazazi.Anataka wajengewe wazazi wake kwanza mwanamke then ndo urudi kuwajengea wazazi wa mwanaume.

Usafi na kumcha Mungu yale yale tu
 
Bado ni ubinafsi huu!

Maana vyote vimeegemea kwa masilahi ya mwanamke na siyo mwanaume.
Hapa mijanaume mipumbavu ndio itaangukia hapa ikizani Kuna tuzo za kuwa punda wa wanawake
 
Na yanakoma,mitaani yanaonekana kama machizii,Mashati hayayashiki kama yana HIV positive wakati yako negative.Sema stress tu.

Yanajifariji Kwa wimbo wa mbaraka mshehe.
kua wameumbwa mateso
 
Back
Top Bottom