msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 838
- 1,167
Leo sina hili wala like Naona txt kutoka Kwa Bby ikinitakia Heri Siku ya Baba Duniani..
Kiukwel Mpenz wangu ni mzuri sana hakuna anayemzidi mpenzi Wangu kwenye hii Duniani Ndo Maana nitachit weee na nitamlinda.
Aya Kama wewe kweli unapendwa onyesha txt tuone au ndo upo kwenye mahusiano haupo
NB: Sina Mtoto Ila kaniwish.. Mungu ambariki Mpenz wangu.
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app