Jando na unyago toka kilingeni Msata

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya bumpingi....

Kuna maneno watu wazima wakiwa wenyewe huyatamka.. Na pengine bila kutaka, yani sio kwa hiari yao... Yanawatoka tu... Maneno hayo ni tofauti kabisa na yanayotamkwa na vijana wa siku hizi.

Watu wazima huwa wanasema nipokee nakuja... Hii tafsiri ina tafsida na ina ukawaida.... Ndugu ama jamaa akikupigia simu akakuomba umpokee na ukafanya hivyo basi hufurahi sana... Kinyume chake hata asipokasirika ila atabaki na kinyongo.

Tafsida ya nipokee nakuja nayo ni vilevile... Kuna namna ya kumpokea mwenzako baada ya safari ndefu na mzigo kichwani.. ulishamuandaa sasa mpokee mzigo apumzike :D :D :D.... Ukisema unajojoa utaulizwa kwani maliwatoni hapa!? :mad: :oops: au wahuni watakwambia toa na kubwa kabisa :rolleyes:

Kuna baadhi ya michezo ina mbwembwe na raha na vituko vyake lakini anayefaidi zaidi uwaacha wachezaji basi ni wapenzi watazamani almaaruufu wazee wa chabo

Kuna ngeli zenye vina vya aina yake wallah si za dunia kunako pale kiwanja cha 6 kwa 6 hata kama kiuhalisia ni porini
Nishike kunku
Nipe yote.... (?)
Ntukanie...
Kaa hivi geuka vile... (Khaa hata gym sio kwa mitindo hii)
Change side :oops: :oops: :oops: :oops:
Nataka sumaku...
Chukua yote :D :D :D wizi mtupu

Siku hizi ni nadra sana hizi labda kwa msaada wa booster za vumbi la Kongo na vidonge
Siku hizi mmh hata vilainishi havitumiwi tena!? :oops: :oops: ni ukumbwa wa maumbile pinzani!? Ama ndio ishu ya vibamia!? Au ni ishu ya upungufu wa nguvu za via vya uzazi ?

Kuna mengi wanayakosa vijana wetu leo.. Rejea yale maarifa ya kwenye mada bustani ya manukato siku hizi mahaba si mahaba mapenzi si mapenzi ni kubakana tu na binti hata akikata kiuno ni fujo tupu :D :D :D :D
Karibuni kilingeni kwa huduma ya bure ya jando na uyago
 
Wakata viuno wanazidi kupungua siku hizi ukijumlisha na hawa vijana wetu wala kiepe yai la broiler basi kazi hamna tena hapo sanasana ni kucharaza ndimi za kenge matokeo yake kujimaliza kwa kutumia matango na makaroti na midoli
Aisee ndio maana mamaz wanazidi panda chat
 
Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya bumpingi....
Kuna maneno watu wazima wakiwa wenyewe huyatamka.. Na pengine bila kutaka, yani sio kwa hiari yao... Yanawatoka tu... Maneno hayo ni tofauti kabisa na yanayotamkwa na vijana wa siku hizi
Watu wazima huwa wanasema nipokee nakuja... Hii tafsiri ina tafsida na ina ukawaida.... Ndugu ama jamaa akikupigia simu akakuomba umpokee na ukafanya hivyo basi hufurahi sana... Kinyume chake hata asipokasirika ila atabaki na kinyongo
Tafsida ya nipokee nakuja nayo ni vilevile... Kuna namna ya kumpokea mwenzako baada ya safari ndefu na mzigo kichwani.. ulishamuandaa sasa mpokee mzigo apumzike :D :D :D.... Ukisema unajojoa utaulizwa kwani maliwatoni hapa!? :mad: :oops: au wahuni watakwambia toa na kubwa kabisa :rolleyes:

Kuna baadhi ya michezo ina mbwembwe na raha na vituko vyake lakini anayefaidi zaidi uwaacha wachezaji basi ni wapenzi watazamani almaaruufu wazee wa chabo
Kuna ngeli zenye vina vya aina yake wallah si za dunia kunako pale kiwanja cha 6 kwa 6 hata kama kiuhalisia ni porini
Nishike kunku
Nipe yote.... (?)
Ntukanie...
Kaa hivi geuka vile... (Khaa hata gym sio kwa mitindo hii)
Change side :oops: :oops: :oops: :oops:
Nataka sumaku...
Chukua yote :D :D :D wizi mtupu

Siku hizi ni nadra sana hizi labda kwa msaada wa booster za vumbi la Kongo na vidonge
Siku hizi mmh hata vilainishi havitumiwi tena!? :oops: :oops: ni ukumbwa wa maumbile pinzani!? Ama ndio ishu ya vibamia!? Au ni ishu ya upungufu wa nguvu za via vya uzazi ?
Kuna mengi wanayakosa vijana wetu leo.. Rejea yale maarifa ya kwenye mada bustani ya manukato siku hizi mahaba si mahaba mapenzi si mapenzi ni kubakana tu na binti hata akikata kiuno ni fujo tupu :D :D :D :D
Karibuni kilingeni kwa huduma ya bure ya jando na uyago
Its true brother,hawa wa sikuhizi hawachelewi kusema "mwaga haraka nataka kuwahi vicoba"
 
Umenikumbusha mmakonde aliyeweka mgomo anamwambia jamaa bwana we mi leo kutokukukatia kiuno jamaa akamwambia utakata tu mtanange ulipoanza mmakonde kanogewa akaanza kukata kiuno jamaa akamuuliza kulikoni ulisema leo hukati? Akajibiwa bwana we kunnogeyaaaaa mwenzio
Jamaa mwenyewe ni wewe siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom