Does misery really need company?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,373
2,267
Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha.

Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na watu karibu yako (Ndugu, jamaa, marafiki, mashabiki nk.) Sasa Huu msemo wa the miserable need company maana yake Ni Kuwa watu wenye huzuni, masononeko, mihangaiko ndiyo hupenda Kuwa Na company Sana (ili wafarijiwe).

Kwahyo ukiona introvert anaishi kivyake,mtu Hana marafiki wengi, hajuani Na majirani, Ndugu wote, classmates wote yeye ana watu wachache Sana wa karibu Na hapendi shobo

Haimaanishi Hana furaha..Haimaanishi yupo lonely...Huenda yeye ana furahia company yake mwenyewe, hufurahia hobyy Zake Zaidi (Kazi, mziki, Mpira, Sanaa Ni.) Kuliko anavyofurahia kupiga story Mashosti vibarazani.

Swali Sasa kwako msomaji, Je Huu msemo Ni Kweli? Kwamba company follows the miserable? Yaani does the miserable need company ? Yaani wenye Je, huzuni hupenda kampani?
 
Ndio sisi hapa tunatoka hapa home sahivi tukale kitimoto na bia 4
Wewe Ni miserable??? Unamkimbia mkeo anayekupa stress nyumbani unaenda kuweka heshima bar Kwa kuchafua Meza Na kuchukua Malaya mkali bar nzima Huku ukionekana Ni mtu mwenye furaha Sana Na unakula Bata Sana,,..Kumbe Ni huzuni ya familia Na mkeo ndio imekufanya ufanye hayo yote kujifariji??
 
Back
Top Bottom