Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua. Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Umefanikiwa kujenga kibanda cha vyumba viwili, chumba chako ni master bedroom na chumba cha pili ni cha kawaida. Unapata uhamisho, kwa sababu za kiusalama unamtafuta kijana wa kukaa. Chumba...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna cha salamu, siku takribani saba nimekuwa nikisikitika mno kwa mambo kadha wa kadha. Leo moyo umepiga 'paaa' baada ya kuangalia 'list' ya majina ya wanafunzi kumi bora kitaifa waliofanya...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Hello wakuu!, Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na...
98 Reactions
905 Replies
69K Views
Tuambie ikiwa wewe umeoa bikra je kweli bado mna amani ametulia miaka yote maana yake wanawake na shetani ni kama mahusiano ya chatu na mbwa. Mimi kuna kahaba nataka kuoa sijali bikra hizo...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa... Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata...
3 Reactions
111 Replies
8K Views
Sura yako ya ucheshi ndio tatizo pekee unalo niacha nalo. Kwani sidhani kama ni vyepesi kuiondoa mawazoni. Nilikuwa sifahamu ni nini nahijati kwa mwanamke mpaka pale macho yangu yalipo hifadhi...
1 Reactions
3 Replies
927 Views
Your name starts with letter A. whenever you are right now and reading this, just know that this letter is for you. it is coming from your first boyfriend who took away your virginity. It has...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Kumekuwa na maombi mengi humu lakini ukiangalia muombaji unaona kabisa Kuna mzaha mwingi na walio wengi hawatoi ushirikiano hata wakifuatwa pm. Hivi mtu anasema anatafuta mke......stage za mdada...
0 Reactions
1 Replies
461 Views
Ndugu zangu habari zenu. Wadogo zangu 'mambo?', rika la wanangu(najua hawapo) wazima? Ninahisi kuwa na hatia mno, kwa mengi niliyofanya. Kubwa ikiwa ni kuwakataa makumi ya wasichana waliopiga...
5 Reactions
130 Replies
7K Views
Hili ni jambo ambalo kwa upande wangu nalitizama kwa utofauti kidogo watu wengi wana ingia kwenye matatizo ya kisheria ambayo yanawapelekea mpaka kifungo cha maisha JELA sababu ya usaliti wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa na wanawake jinsi ya kujisafisha kwenye papuchi(mwanaume atakaye shauri naomba awe doctor au mwenyewe experience ya kutosha kuhusu maumbile ya mwanamke) Mimi huwa nikienda...
6 Reactions
117 Replies
97K Views
Kwema? Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo. 1.Asizidi miaka 30 2.Awe na uelewa muhimu wa maisha. 3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo la...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Wakuu salaam, Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini...
41 Reactions
212 Replies
10K Views
Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana. Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mwanamke hajawahi kueleweka anataka nini kwenye ndoa/mahusiano. Nakumbuka utawala wa Rais JPM kuna rafiki yangu kipenzi sana, alipata bahati ya kuajiriwa usalama wa Taifa hivyo alikuwa akisafiri...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forum, Nawakaribisha katika maada tajwa hapo juu . Kuna baadhi ya wanaume nimekuwa nikisikia na kunihadithia fedhea hii kwamba unakuta mwanaume akiwa na mke wake au mpenzi wake...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kweli nimeamini hayana muongozo, yaani hawa wanawake wapo kwa ajili ya masirakhi tu. Sijamanisha wanawake wote ila asilimia kubwa ndio wako namna hiyo, yaani mpaka najiuliza nini kimewapata hawa...
14 Reactions
76 Replies
6K Views
Habari za majukumu wadau, Mungu ni mwema siku zote kwa kutupa afya njema na uzima na kuendelea na mapambano ya kitafuta mkate pamoja na kujenga nchi. Niende kwenye mada ambayo ni mambo ambayo ni...
18 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom