pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,645
- 14,804
Habari za majukumu wadau,
Mungu ni mwema siku zote kwa kutupa afya njema na uzima na kuendelea na mapambano ya kitafuta mkate pamoja na kujenga nchi.
Niende kwenye mada ambayo ni mambo ambayo ni asili ya mwanamke toka enzi za mababu wanaume hawawezi kufanya kama wanawake wanavyoyakabili mambo kwani hata mungu, alisema tuishi nao kwa akili maana kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ki asili na kimazingira.
Sasa yafuatayoa ni mambo ambayo wanayafanya wanawake kwa asilimia kubwa wanapokuwa kwenye ndoa au hata uchumba:–
1. Mwanamke unaweza ukamuoa akiwa na watoto ukawapenda na kuwasomesha mpaka ngazi za juu ila wanaume akiwa na mtoto hata mmoja tu atamchukia na kumsingizia kila baya ili amchukie.
2.Mwanamke anaweza akamleta ndugu yake mahali mnapoishi kimatibabu au kimatembezi ukampenda na kumuhudumia ila wakija ndugu wa mume kwake anaanza visa na chuki dhidi yao.
3.Mwanamke anaweza akakaa na mama yake mzazi mahali alipo olewa miaka nenda miaka rudi ila akija mama wa mume hyo ni vita ya Ukraine na Russia itatokea hapo.
4.Mwanaume anaweza akasoma mpaka akawa na cheo kikubwa iwe serikalini au kwenye jamii ila akaoa darasa la saba na wakaishi vizuri tu ila mwanamke akisoma ni mara chache sana atakubali kuolewa na mtu aliyemzidi elimu na akiishi nae basi atamtesa.
5. Mwanaume anaweza akamuuguza mke wake kipindi anaumwa mpaka akapona au kufikwa na umauti ila mwanamke ni mara chache sana kumvumilia mweza wake akipata maradhi ya mda mrefu au akishuka kiuchumi.
Yapo mengi ndugu zangu ila hyo ni mifano tu unaweza ukaongeza ya kwako ila kiufupi wanawake hawana uvumilivu kuwashinda wanaume.
ENYI WANAUME ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI mwisho wa kunukuu.