Nahitaji mke, awe tayari na ndoa

May 23, 2022
5
3
Kwema? Nina uhitaji wa kupata mke wa kufanya nae maisha, nahitaji awe na sifa zifuatazo.

1.Asizidi miaka 30
2.Awe na uelewa muhimu wa maisha.
3.Napenda awe na muonekano mzuri, japo ni jambo la ziada.

Tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya kufahamiana zaidi.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom