Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wana JF hasa jukwaa hili. nimependa kushare habar hii japo kwa ufupi na nyinyi. Kuna rafiki yangu wa kiume alikuwa na rafki yake wa kike (mchumba) ambae awali walikubaliana kuwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
The conventional wisdom holds that older men prefer dating younger women so they can relive their glory days of youth. Some people believe that if an older man is seen with a younger woman, it's...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa...
14 Reactions
26 Replies
4K Views
Helloo.. jamii friendszone. This week natua Makao makuu ya nchi(Dodoma) nikitokea DSM, ningependa kupata mwenyeji au rafiki atakayekuwa mwenyeji wangu na atakeyenipa company pindi nitakapokuwa...
2 Reactions
10 Replies
915 Views
Habari za jukwaani, NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano, Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Miruzi imekuwa mingi, na kila mmoja anavutia kwake. Walio wengi hawataki kukoselewa na walio wengi hawautaki ukweli. Ukweli lazima usemwe bila kujali utamuumiza nani na bila kujali lawama za...
9 Reactions
89 Replies
5K Views
Mdogo wangu, mkewe amekua kero kwa kweli ana pata hasira kwa vitu vidogo vidogo paka kuharibu vitu vya thamani, Jana alimpigia simu, kwasabb alikua anaongea na watu hakuipokea, baada ya Mda...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Kisa kiko hivi Mshikaji wangu kaniomba ushauri wa mawazo,kanihadithia issue nzima ilivyo,ila point ya msingi ni kwamba mkewe ameleta housegal nyumbani pasipo kumshirikisha, anasema hapafahamu...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA. Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua...
12 Reactions
80 Replies
7K Views
Wakuu bila kupoteza muda naomba nijikite kwenye mada husika. Mimi ni mfupi wa futi 5, na nimekua nikipenda dating na girls warefu.Mpaka sasa nimeshakua kwenye love relationship na wanawake warefu...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
1. They are scared of her Well, maybe you’re not. But most men are scared of their girlfriend/wife leaving them. This shows that she overpowers you in your relationship. You are a weak person. 2...
4 Reactions
8 Replies
978 Views
Kwema Wakuu! Taikon ni Kaka, mume, Baba mtarajiwa, lakini pia inawezekana nikawa mchepuko mtarajiwa ( hili sitaki litokee Ila Kwa hizi pisi naona Kama najiongopea). Pia ni Babu mtarajiwa, nikiwa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiwa na mpenzi au mwenza wako kwenye marital bed, ni busara kuweka simu kwenye vibration. Mihangaiko ya mchana kutwa inachosha, na usingizi ni njia pekee Mwenyezi Mungu alituwekea kupunguza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
I was having a conversation with my little cousin, she’s 23. She asked me “why does a woman’s past matter ?” I asked her “Tell me one thing that’s exciting about a woman’s future, that benefits...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Za saizi watanganyika wenzangu! Kuna mwanamke niko na mahusiano nae,ila nimekua mbahili sana kumpa hela.vijipesa ninavyompa ni hivi vya nauli tu za kuja na kuondoka ghetto kwangu akiwa ananiletea...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza. Anyway...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanamke wa hivyo anatakiwa apewe mkong'ong'oto alale kitandani siku 3. Hawezi rudia tena kuvunja vunja vituMkuu utaua kupiga, mtu mzima sio rahisi kihivyo kupingwa.
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Wakuu kwema, Asikuambie mtu hakuna njia ya kumpata mwanamke ya kirahisi kama kumpa hela na kumnunulia zawadi kwa kipindi cha mwanzo wa mahusiano. Fanya hivi unamtamani kuwa na mwanamke mrembo...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Katika maisha tunapitia visa vingi sana ambavyo vingine kama tukiwa makini vinatuachia funzo kubwa. Tuna mikasa mingi ambayo kama ukipata mtu wa kuisimulia kwa kuiweka kwenye kitabu au filamu basi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom