Habari za jioni
Juzi mshikaji wangu anachezea mpira timu fulani akaniambia Kuna manzi kakuelewa Sana ananisumbua toka mda anataka namba yako ni mpe? Nikamjibu mpe haina shida ila sitaki mswahili...
Habari zenu ndugu,
Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa .
Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye
Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu
Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka...
Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi...
Jpili iliyoisha nilihudhuria sherehe ya ndoa ya kutimiza miaka44,ktk ufunguz wa sherehe waliweka clip iliyorekod wanandoa wakisimulia namna ya ndoa yao ilivyoanza na nadhan walitumia njia ya...
Heshima ya kila namna anahitaji mwanaume.
Kuanzia kupikiwa na kuandaliwa chakula mpaka kupewa unyumba. Mwanaume anataka heshima.
Sio dharau na kiburi kwa namna yoyote. Ndio maana mahusiano na...
Niende moja kwa moja kwenye mada maana hapa sielewi kabisa.
Ipo hivi shemeji yenu alikuja geto sasa akaniambia yupo siku za hatari nitumie ndom , sasa kutokana na papara za nyege kuna demu...
Well, kitambo kidogo sijaweka andiko hapa!!!
Ni matumaini yangu Wana MMU mko salama nmaendelea vyema na majukumu ya kila siku ,,,, !
Back to the topic, kuna mdada nilikuwa navizia vizia mda tu...
Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu.
Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na...
Hello wanaMMU
Naombeni tumshauri huyu dada. Tumpe jina Binti mateleshamsi. Mume aitwe Bakahehe. Mateleshamsi kaolewa na ndoa ina miaka kadhaa. Ndoa imebarikiwa kuwa na watoto pia...
Kwa muda...
Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana...
Bwana eeh niende moja kwa moja kwenye maada
Unakuta kuna mdada unamkubali sana goodluck unakuta yuko charm yaaan mchangamfu akikuona lazima akutaje jina kwa bashasha may be let say jina lako...
Mwanaume mmoja alimuoa mwanamke mrembo. Alikuwa akimpenda sana. Siku moja mwanamke alipatwa na maradhi ya ngozi. Kidogo kidogo alianza kupoteza urembo wake.
Mume alipata safari na wakati akirudi...
Habari zenu wana JF
Basi bila ya kupoteza muda niingie kwenye mada kamili.
Ilikuwa jana katika harakati za kusakata kabumbu, baada ya maandalizi mazuri kabla ya mchezo kukamilika, tukaanza rasmi...
Maana kiukweli dunia hii imeshatawaliwa na pesa, yaan utu wa binadamu umezongwa na kitu pesa. Mwanaume hataki kuhudumia ila anataka kisafi chenye mwonekano bora na mwanamke anataka...
Habarini za asubuhi,
Inawezekama mpenzi wako kama ni mwanga kuja kwako night akakukuta na mwanamke mwingine, kesho yako akakasirika au kukuwashia moto au kufanya jambo lolote mpenzi analoweza...
Demu tulikutana kwenye mishemishe za kutafuta Door, longtime ago , japo hatukutongozana ila tulikuwa na intimacy , jana namchek kama masikhara njoo ntembelee na akaja kwel tena usiku, demu...
Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na...
Wasalaaam waungwana,
Leo nijikite moja kwa moja kwenye mada husika kuhusu mahusiano.
Ni Mara nyingi sana watu hasa wapendanao kuwa na migogoro ya Mara kwa Mara na kupelekea kuchokana na kukinai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.