Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nawasalimu nyote. Huyu ni binti wa Kizanzibar, ingawa maisha yake ni bara huku, binti wa miaka 19 au 20 ivi, Bado Yuko kwa wazazi, nazan ni mtoto wa mwisho pale kwao. Pale kwao ni mabingwa wa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
MBINU ZA KUTOKUCHEPUKA KWA KARNE 21 - 22 Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Ikiwa wewe ni mvivu soma kwa urefu wa kamba za akili yako. Hakuna mtu mwenye akili timamu, muadilifu na aliyestaarabika...
8 Reactions
60 Replies
10K Views
Habari. Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili. Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini...
4 Reactions
86 Replies
6K Views
Tokea nijiunge kwenye jukwaa hili nimejifunza mambo mengi sana, Jambo moja la msingi nililo jifunze na nimelizingatia na kuona matokea yake ni kuto kuwapa pesa wanawake hovyo iwe kwa njia ya...
2 Reactions
4 Replies
441 Views
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi. Zamani pombe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 29 now, ninahitaji mwanamke wa kuoa ambaye yupo tayari na ataridhishwa na maumbile yangu( kibamia). Uume wangu una urefu wa nchi 3.6 ukiwa umesimama na wembamba kiasi. Kwa...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja...
13 Reactions
165 Replies
12K Views
Daah... asubuhi asubuhi leo nimeshuhudia kituko, Mstaafu akionja shubiri ya huba baada ya kuhonga nauli yake ya Daladala. Picha lilianzia kituo cha Daladala cha Njia Nne, anapanda msichana wa rika...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Salute commrades.Leo naomba nichukue hii fursa kuwaeleza jinsi ya kuijua thamani yako kwa watu wanaokuzunguka kwa njia 3 zifuatazo; 1.Zawadi utakazopewa na watu wengine; Kwa mfano ukiwa...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukiwa kama kijana wa kike au kiume na uliwahi kufanya makosa huko nyuma ukajiingiza kwenye mahusiano ambayo yalikupa maumivu na yakaharibika, wakati mwingine ukiwaza kuingia kwenye mahusiano...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane na bosi wako ambaye ndiye alikusaidia kukufundisha kazi hapo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
?
0 Reactions
8 Replies
962 Views
Wakuu salama!. Nilikuwa siku zote nikimuona mtu analia kwa sababu ya mapenzi nilimcheka na kumdharau.Lakini kwa haya yameyonikuta sihitaji kusikia neno mapenzi katika masikio yangu maana niliwaza...
21 Reactions
196 Replies
36K Views
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni...
38 Reactions
289 Replies
16K Views
Nimeanza maisha , sina mwenza wa kuishi nae , uwezo wa kugharamia ninao , ila tu nataka mwanamke ambae anaweza kupika na kufua nguo vizuri ... nikifanikiwa kumpata nitamsaidia kwa hali na mali ...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…