Dunia ipo last season

Dunia ipo last season

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,065
Reaction score
61,398
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.

Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.

Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
 
Nlishawahi waza kuwa dunia asa hivi ina dhambi sana nikatafakari....kumbe miaka ya nyuma nilikuwa mdg sikuwa najua mengi(i was innocent) ndio maana nkawa naona dhambi chache... kwahiyo

Kama hivyo kulewa na kula mbunye 24/7 wajuba walikuwa wanafanya toka zaman sema ulikuwa too young & innocent to notice

Hakuna jipya
 
Umeisha sana mkuu, huo ndio ukweli haya mambo yalikuwepo toka kitambo tu maana hizi beer hazijaanza kutengenezwa leo wala hizi pisi.
 
Ukifa ndio inakua last season usitutishe bana pambana na hali yako.
 
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.

Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.

Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
Hakuna jipya mkuu. Watu wamechakatana tangu sodoma na gomorah, wengine walimlewesha hadi baba yao wakandinyana nae. Na hayo yote yametokea hata kabla ya kuanza kuhesabu miaka.

Ni kwamba hatujui tu kpnd hiko uovu ulikua wa level gn. Ila ukisoma maandiko ya wanafalsafa wa kigiriki na story za enzi hzo utaona zaman kulikua na uovu saana labda hata zaidi ya sasa. Wewe fikiria Latin language speakers waliendekeza starehe na zinaa hadi wakaacha kuzaliana na wakafa, (yaan watu wanaendeleza zinaa lkn wanaisha na wanakufa kisa kutozaliana, jiulize zinaa ilikua inafanyweje?) Na hadi leo lugha yao ni dead language coz waongeaji wote walishakufa miaka hio.
 
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.

Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.

Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
Yakawaida hayo,Bado hatujafikia kiwango Cha uovu wa sodoma,kipindi kile,watu walitaka kubaka maraika!!
Yaani wamebaka wanaume,kiu imeisha,sasa fatancy yao wakataka wa waonje maraika waliomtembelea Ibrahim!!Ibrahim akawaambia awape Binti zake waliobikira,njemba zikagoma,kiu yao ni kuwaonja maraika.
 
Nlishawahi waza kuwa dunia asa hivi ina dhambi sana nikatafakari....kumbe miaka ya nyuma nilikuwa mdg sikuwa najua mengi(i was innocent) ndio maana nkawa naona dhambi chache... kwahiyo

Kama hivyo kulewa na kula mbunye 24/7 wajuba walikuwa wanafanya toka zaman sema ulikuwa too young & innocent to notice

Hakuna jipya
Watu walidhani ISIS ndo wamefanya unyama na ukatili wa kutisha katika historian ya ulimwengu kumbe ISIS Cha mtoto ukilinganisha na Karne zilizopita.

Pia watu wanadhani idadi kubwa ya watu Sasa hivi duniani billion 8 haijawahi kutokea. Wakati wa Nuhu ilikuwa Zaid ya hapo na pisi Kali kinyama na mademu wakali Hadi malaika wakawa wanashuka chini mara kwa mara kuja kupiga na kutandaza miti na kuzaa watu wa ajabu wenye miraba minne. Sirgodi akashangaa WTF akamaindi kichiz na kusema this is bullshiit na kuleta gharika.

Na tushukuru gharika viumbe vyote pamoja na wanyama na mijitu ya ajabu kina dinasour yaliaangamia Ndo maana Leo tuna utajiri wa mafuta duniani.
 
Nawe unatongoza watano wote wa kazi gani? Na ukikubaliwa si ndio vizuri au ulikua unatongoza ili ukataliwe????
 
Siku hizi ukitongoza wadada watano Basi una uhakika wa kukaza wanne.Zamani kutongoza tu ilikuwa mtu unaogopa yaani mpaka uje kumpelekea mdada Moto Basi umehenyeka miezi na miezi.

Zamani pombe ilikuwa wanakunywa wazee tu vijana wachache TU ungewaona wakinywa pombe ila siku hizi watu tunamwagilia mioyo mpaka sio poa.yaani kila siku NI ma vibe tu ya kichina hakuna Cha weekend mpk siku za kazi watu mpaka tushafanana na bia.

Sio poa ukienda tik tok na Instagram ndo utakutana na watu waliovurugwa yaani kila mtu anajikuta msanii mambo NI mengi asee Kama TU yanaofanyika public yanatisha je yanayofanyika sirini??
Boss...mti huanzia chini...kubali matokeo.
 
Back
Top Bottom