Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Umempenda mwanamke umemuoa means hadi umemuoa umeridhika nae na umekubali kuandamana naye tu wewe ni mume wa mtu sasa, kuacha kucheat kwa mkeo haiwezekani? Ukawa mwaminifu kwake hadi kifo...
10 Reactions
152 Replies
14K Views
Wanawake wa pwani Wana mambo
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mda sisi wanadamu tukipata ua tunasau kama kuna kukosa pia. Na tukishiba tuna sau njaa. Tukifurahi saana tuna sau uzuni. Na tukicheka tunasau kulia. Ili kuwa mwaka 2019 kuna mwanamke ambaye...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari? Miongoni mwa vitu ambavyo havina jibu moja linaloaminika na kukubali kwa wote ni hili la dhana ya mwanaume kamili. Kwa upeo wangu tu nimekuwa nikisikia maana na vigezo vingi kuhusu...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Kuna jamaa mmoja ambaye ana mpenda saana ex wangu. Sasa huyo jamaa ametumia njia zote kumfanya demu ampende mwishowe anakula kadi nyekundu kabisa Sasa jamaa alipewa abari kuwa kumpata huyo demu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hope wazima. Binti kapata kijana wa 45 muajiriwa ana mke mjamzito na watoto 3 anamjali kwa material yeye, wazazi na ndugu zake shida zao wanatatuliwa. Yeye ni ps kwa private sector mshahara...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakuu!!! Akyanani...ata salamu haiji, naenda straight kwenye format ya leo. Kama unataka anzisha familia ya wife zaidi ya mmoja....wanaume naomba jamani kama wewe ni ule ukipewa kachumbari na...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Ukisikia mwezi wa shetani, Basi Ndo huu mwezi Machi na mwezi April. Yaan Hii miez Ni mwendo wa migogoro TU kila kukicha na Mchepuko wang mamaJ. Likibanduka hili linaibuka jingine. Kama...
23 Reactions
439 Replies
31K Views
Kuna manzi Tumepanga nyumba moja lakini yeye ni mke wa mtu. Mume wake ana wake watatu Jamaa analala kwa zamu zamu kila mke wake anampitia mara mbili kwa wiki. Sasa huyu manzi ananizalimisha sana...
12 Reactions
81 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi pendwa la MMU. Ilikuwa tarehe 07/10/2019 Majira ya Jioni huko Dodoma nilipofunga ndoa kwa mara ya kwanza. Wakati wa sherehe usiku nilibahatika kuzungumza na mzee wangu (sio...
35 Reactions
44 Replies
5K Views
Mwaka 2000 nchini Ghana Ilikua ni saa 7 mchana jamaa kakutana na bint mrembo wa haja mtoto mzuri alikua ni miss Ghana wakati huo mchezo unaanza hivi, Jamaa alikua ni kapuku tu ,majalala,mtu...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Kuna kitu kinanivutia sana toka kwa wanawake wa kihaya, kabla ya kuhamia kanda ya ziwa nilikuwa sijui madini haya nilipokutana na mdada mmoja ana hiki kitu nilichanganyikiwa sana. Nilijua ni...
14 Reactions
154 Replies
18K Views
Wakuu habari zenu, kwema, wazima humu! Ngoja twende kwenye mada. Ni hivi nina mke nimeoa tangia mwaka 2013 tumebatika kupata watoto 4 wa kiume 3 wa kike 1. Wakuu kabla sijamuoa mke wangu...
3 Reactions
162 Replies
26K Views
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Hapa ndo nilithibithisha kuwa mapenzi ni yanauma, Maumivu nilioyapata sijawahi kuyapata tena na naomba yasijirudie, yaani huumwi sehemu yoyote ya mwili lakini unaona dunia iko juu chini. Kwa mara...
23 Reactions
448 Replies
57K Views
Hello wanajamii Bila shaka muko salama, huku tukiendelea kusubiri uchaguzi Mkuu unaotarajiwa Kufanyika August 9,2022 Ee bhana tuache story mingi mwaka 2016 nilipataga kademu kakenya alikuwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi! Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa...
46 Reactions
380 Replies
20K Views
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress! Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa...
13 Reactions
148 Replies
10K Views
We have been told to be sad about death, but I have never felt sadness when a close one dies. I usually induce myself into an emotional state of expressing sadness, out of respect for people...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Back
Top Bottom