Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,278
29,776
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna.

Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.

ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.

Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.

1655747714341.png
 
Haaaa! We mjanja sana mkuu, kula tu huyo mke wake, kwani ni mwembamba hana nguvu, hawezi kukupiga.

Ila andaa hicho unachokalia, atakuja kukuporomosha mavi kwa kif.iro cha fumanizi, tena njemba zenye dudukojo kama mguu wa mtoto ndo zitakushindilia huyo kwenye mtaro wako. Yeye unayemwita mwembamba hana nguvu atakuwa pembeni anatoa maelekezo namna ya kukupelekea moto.

Endelea tu, wewe mjanja. Utakipata unachotaka.
 
Sio hata kuachwa hai. Huku kwetu wezi wa pili jamaa ivyo ivyo wapenda self kitonga kamaambiwa aachana na pisi ya watu hataki anachukulia poa. Mwamba akaenda akachukua wenzake usiku usiku wakavamia geto la jamaa akakutwa yupo na pisi ya watu. Yeye na huyu pisi wakawa raped (nimepunguza ukali wa maneno). Nikaskia jamaa kaenda sijui kupigwa bomba hospitalini

Mm binafsi haya mambo ya kuvamia mali za watu huwa sitaki hata kuskia
 
Tuache na atakavyorudi south akukute bado unakula, je ukishatafunwa marinda na Mume wake akimwacha unaweza kumhudumia yeye na watoto wake au unataka mbunye tu ?
 
Back
Top Bottom