Habari za asubuhi ndugu wananchi wa jukwaa hili pendwa.
Miongoni mwa mambo yanayo nikosha kipindi cha kujamiiana ni zile mbwembwe za mademu.
Kwanza kuna wale wanao lia kila mmoja anakuwana na...
Ndo hivyo wanaume , wanawake wanapenda kusikia Maneno mazuri ya Mahaba kutoka kwenu yenye kuamsha hisia za mapenzi. Sweet umependeza, tangu nikuoe hadi leo utafikiri hujazaa uzuri wako hauchuji...
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa .
Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine...
Wewe ni single mother imetokea nimekupenda.
Nakuta mwanao wa kiume hana nidhamu na hajalelewa kiume amelegea na mideko mingi, nakusaidia kumlea kwa kukupa ushauri. Unaniambia siwezi kujua mtoto...
Bado nipo nipo sana.
Habari great thinkers.
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ni rafiki yangu wa karibu sana, ndoa yake ina miaka miwili 2.
Amekuja kwangu kuniomba ushauri. Kwa uwezo...
Habari zenu
Kumekuwa na mijadala mingi kwenye jamii kuhusu 50 kwa50 kwenye swala la kuchepuka Kati ya mume na mke.
Wengi wanaotetea hoja hii Wanadai ikiwa mwanaume hajatulia kwenye ndoa haina...
Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani...
Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu, nimegundua mwanamke niliyenae kwenye mahusiano anatembea na mume wa mtu tena kwa siri sana.
Hali hiyo imenifanya nibaki dilemma maana ananificha pia hajui...
Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika.
Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna...
Jamani mimi na ex wangu tuna miaka 2 toka tuachane
Mwenzangu ameshanisau kabisa nafikiri ata hakumbuki kama ameshakuwa kwenye mausiano na mwanaume kama mimi
Lakini toka tuachane mpaka sasa...
Habari wana Jf.
Wife amekuwa mkali sana siku hizi yupo busy na watoto hana muda na Mimi hata ninapo mhitaji pamoja na kumtimizia kila atakacho.
Mechi mpaka watoto walale yaani Nina mawazo tele...
Watoto ni baraka ndani ya familia; wengi wanatafuta watoto na wengine hukosa kabisa kupata watoto, na hatimaye kukimbilia kulea watoto wa ndugu au wa jamii nyingine.
Watoto wakiwa wadogo huwa ni...
Ewe mdada tupe uzoefu wako ni namna gani unavyo lipokea suala la baharia kuzama uvinza na kwenye mk*ndu alafu anakuletea mdomo ambao umetoka kufanya utalii usio rasmi kwenye mbususu na kwenye...
Peace,
Siku zote ukienda kinyume na nature lazima uangukie pua. Jaribu kutumia mikono kutembea na kutumia miguu kula, au jaribu kukaa kwa kutumia kichwa badala ya makalio.
Nature, asili ya...
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi futi 2.5. Umbali wa...
Wakuu habarini za leo,
Iko hivi nimetongoza vizuri tu dem akaniambia kwamba ana mpenzi wake. Mi nikajua ni defensive mechanism za wadada ili nimfukuzie kwa hivyo nikaendelea kumfatilia mwisho...
Kujadili dini ni mojawapo ya mijadala inayokwepwa na baadhi ya wanajamii ili kuepusha shari na kudumisha amani. Lakini linapokuja swala mahusiano hususan pale watu wawili wenye imani tofauti za...
Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume...
Wana MMU Salaam
Miaka ya karibuni kumeibuka tabia fulani hivi ya kufanya uanaume uwe mgumu Sana. Yani Kuna vitu ambavyo baadhi wanadai mwanaume Atakiwi kuvifanya lakini kwa uhalisia ni vitu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.