Unakuta wanandoa hawana hata watoto wameoana majuzi tu, kidogo mwanamke anaanza purukushani. Kosa ni kidogo analivuta maana anajua kaolewa.
Basi anaanza masifa na ugomvi usio wamaana. Halafu...
Chanzo ni wivu wa kimapenzi. Alivutiwa na mimi, si mara ya kwanza kuvamia ofisini kwangu bila sababu ya msingi. Kiufupi alinipenda, japo nilimkwepa kulinda heshima ya boss ambaye aliniokota huko...
Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume...
Wakuu wa JF habari yenu.
Kuna kitu ukikichunguza sana ni kama nauliza swali la KIJINGA LAKINI SINA JINSI.
Mnisamehe tu bure.
Miezi kama 8 iliyopita nilitongoza mdada 1, Kwa muda ule alikuwa na...
1: Tasa- Makaburi ya watu kama hawa hayathamiwi kabisa, ni bora wazikwe kwao ambako kaburi lake litathaminiwa na nduguze.
2: Waliozaa na wanaume wengi - Wakazikwe kwao ili watoto wote wawe...
Watu wanawataja simba, chui, nyoka na kadhalika eti ndiyo viumbe hatari duniani! Aiseeh, hao viumbe wote ni chamtoto kwa mwanamke.
Mwanamke mfanyie kila unachojua, huna utalia, unacho utalia...
Weledi wa wahenga wa kuondoa ukakasi kwenye kila kitu ulipelekea usanifu wa sanaa kwenye lugha, lahaja, na vitenzi... Mathalani lugha ngumu iliyovalishwa koti iliweza kupeleka ujumbe tarajiwa bila...
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.
Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua...
Ukweli ni kwamba anniversary ya miaka mitano kwenye ndoa zimekuwa chache sana compared na divorce tunazoziona.
Kwa maoni yangu,
Maisha ya sasa watu wengi hawana furaha kabisa, many People are...
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna...
Baba ni nini?
Baba ni mzazi wa Kiume wa mtoto. Baba mzazi ni mzazi wa Kiume wa mtoto yule aliyesababisha ujauzito. Kwa maneno Mengine ni yule ambaye Mbegu zake zilikutana na yai la mama na...
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu?
Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema...
Tunajenga nyumba nzuri na za viwango vya juu lakini zinaungua moto, zinabomolewa na kuharibiwa vibaya sana ila hatuachi kujenga.
Magari yanapata ajali na kuteketea kwa moto ila hatuachi kununua...
Jamani mnisaide,
Je, kuna sababu yoyote inayofanya umwache mwanamke ambaye hataki ndoa, hatimaye kurudishiwa mahali iliyolipwa?
Na utaratibu wa kurudishwa upo, kama upo upi, zipitie njia zipi au...
Hii nakupa chukua..
Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua.
Issue...
Habari zenu wadada wa JF,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 38, elimu yangu ni ya Chuo kikuu, Mkristo wa Roman Catholic, mwajiriwa serikalini, mrefu wa...
Naitwa Sam
Miaka 35
Naishi moshi
Kazi yangu biashara
Kabila mchaga
Dini Mkristo,, KKKT
Mweusi mrefu
Sio mnene wala mwembamba sana
NATAFUTA MKE MTARAJIWA MWEYE VIGEZO VICHACHE TU KM IFUATAVYO...
Daah kuna situation moja imenitokea muda huu. Kuna demu fulani nilitaka nimtongoze hapa mtaani yaani jirani yetu anaitwa A ila huyu demu ana rafiki yake ambaye amezoeana na mimi anaitwa M...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.