Rafiki yangu anawakimbia wapenzi wake bila sababu ya msingi

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu?

Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema uanaume wake aliopewa na Mola. Ghetoni kwake zilikatisha papuchi za kila aina asubuhi na jioni. Hakuwa na kitu cha maana anachofanya zaidi ya kuzungumza na wanawake kwenye simu. Na wengine wamekuwa wakim offer bia, pesa n.k.

Hivi karibuni alianza kupoa ghafla, na ule ukipanga wake akaupoteza. Hii ni kwa kuwa tulitembea njia nzima kuelekea nyumbani, tulipishana na warembo wa kila rangi, lakini cha ajabu aliishia kuwapita hivi hivi tu! Ana mpenzi ambae anadai kuwa watakuja kuoana. Mzuri mashallah, chotara la kiarabu na Rwanda, refu, black beauty na tumacho kama tugoroli, bila kusahau kasauti kama ka celine Dion, na mbususu tamu na ya kuvutia iliyozungukwa na kiuno nyigu namba nane.

Cha ajabu kwa sasa ikutokea tumefanya ka party uchwara na kumualika, akagundua kuwa kutakuwa na uwepo wa mabinti anaowafahamu hawezi hudhuria. Hata yule chotara wake kwa sasa anakimbiwa, hataki hata kukutanisha naye macho! Amekuwa wa ovyo sana. Kuna kipindi tulimkutanisha na binti aliyekuwa anamuofa pesa na bia, cha ajabu walipoonana ana kwa ana, binti alicheka sana kisha rafiki yetu akatokomea mitini.

Ushauri tafadhari, tunaweza msaidia vipi huyu mwamba? Tumeshindwa tuanzie wapi wakuu!
 
Kwa sisi watu wa mungu hiyo tunaiitaga "Mpango wa mungu Kwa mtu mmoja mmoja"
Mwache it's gud thing
 
Mwambie ndio ukubwa huo mwambie akwambie na ww ukikua utaacha pia msogelee jilani yako mwambie najenga ndio maana nimekuwa bahiri
 
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu?

Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema uanaume wake aliopewa na Mola. Ghetoni kwake zilikatisha papuchi za kila aina asubuhi na jioni. Hakuwa na kitu cha maana anachofanya zaidi ya kuzungumza na wanawake kwenye simu. Na wengine wamekuwa wakim offer bia, pesa n.k.

Hivi karibuni alianza kupoa ghafla, na ule ukipanga wake akaupoteza. Hii ni kwa kuwa tulitembea njia nzima kuelekea nyumbani, tulipishana na warembo wa kila rangi, lakini cha ajabu aliishia kuwapita hivi hivi tu! Ana mpenzi ambae anadai kuwa watakuja kuoana. Mzuri mashallah, chotara la kiarabu na Rwanda, refu, black beauty na tumacho kama tugoroli, bila kusahau kasauti kama ka celine Dion, na mbususu tamu na ya kuvutia iliyozungukwa na kiuno nyigu namba nane.

Cha ajabu kwa sasa ikutokea tumefanya ka party uchwara na kumualika, akagundua kuwa kutakuwa na uwepo wa mabinti anaowafahamu hawezi hudhuria. Hata yule chotara wake kwa sasa anakimbiwa, hataki hata kukutanisha naye macho! Amekuwa wa ovyo sana. Kuna kipindi tulimkutanisha na binti aliyekuwa anamuofa pesa na bia, cha ajabu walipoonana ana kwa ana, binti alicheka sana kisha rafiki yetu akatokomea mitini.

Ushauri tafadhari, tunaweza msaidia vipi huyu mwamba? Tumeshindwa tuanzie wapi wakuu!
itakuwa kuna kitu kinamuumiza akili na iko kitu chanzo chake ni mwanamke ... kuna asilimia kubwa kuna mwanamke katembea ana ana ukimwi. now ajiamini hata kdg
 
In normal life. ..kumkimbia mtu kuna maana nyingi.
1.aliahidi vitu asivyoweza fanya.
2.kuna madhara ameyapata kwa sababu yao.
3.hana hala kwa sasa.
4.maybe pia anajutia alikua anayafanya mwanzoni
 
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu?

Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema uanaume wake aliopewa na Mola. Ghetoni kwake zilikatisha papuchi za kila aina asubuhi na jioni. Hakuwa na kitu cha maana anachofanya zaidi ya kuzungumza na wanawake kwenye simu. Na wengine wamekuwa wakim offer bia, pesa n.k.

Hivi karibuni alianza kupoa ghafla, na ule ukipanga wake akaupoteza. Hii ni kwa kuwa tulitembea njia nzima kuelekea nyumbani, tulipishana na warembo wa kila rangi, lakini cha ajabu aliishia kuwapita hivi hivi tu! Ana mpenzi ambae anadai kuwa watakuja kuoana. Mzuri mashallah, chotara la kiarabu na Rwanda, refu, black beauty na tumacho kama tugoroli, bila kusahau kasauti kama ka celine Dion, na mbususu tamu na ya kuvutia iliyozungukwa na kiuno nyigu namba nane.

Cha ajabu kwa sasa ikutokea tumefanya ka party uchwara na kumualika, akagundua kuwa kutakuwa na uwepo wa mabinti anaowafahamu hawezi hudhuria. Hata yule chotara wake kwa sasa anakimbiwa, hataki hata kukutanisha naye macho! Amekuwa wa ovyo sana. Kuna kipindi tulimkutanisha na binti aliyekuwa anamuofa pesa na bia, cha ajabu walipoonana ana kwa ana, binti alicheka sana kisha rafiki yetu akatokomea mitini.

Ushauri tafadhari, tunaweza msaidia vipi huyu mwamba? Tumeshindwa tuanzie wapi wakuu!
Kuna mengi. Inawezekana amegundua ulaji wa mbususu hovyo hovyo unamrudisha nyuma katika malengo yake ya kiuchumi au kiroho, you never know.Au inawezekana kuna kitu amegundua kuhusu yeye labda ana ugonjwa fulani ambao unaambukiza kwa ngono, hivyo hataki kuwasambazia wengine, na kadhalika. Saa zingine maisha sio kuhusu ngono tu, na inawezekana ameona maisha ya hivyo kuna kitu yanamkosesha hivyo ameamua kuacha/kupumzika.
 
Tumeshamuwekea vikao vya kutosha kumuuliza kwanini siku hizi kabadilika na kuwa na tabia ya kukimbia mbususu bila sababu?

Rafiki huyu ni kipanga wa aina yake. Siku za nyuma alikuwa akitumia vyema uanaume wake aliopewa na Mola. Ghetoni kwake zilikatisha papuchi za kila aina asubuhi na jioni. Hakuwa na kitu cha maana anachofanya zaidi ya kuzungumza na wanawake kwenye simu. Na wengine wamekuwa wakim offer bia, pesa n.k.

Hivi karibuni alianza kupoa ghafla, na ule ukipanga wake akaupoteza. Hii ni kwa kuwa tulitembea njia nzima kuelekea nyumbani, tulipishana na warembo wa kila rangi, lakini cha ajabu aliishia kuwapita hivi hivi tu! Ana mpenzi ambae anadai kuwa watakuja kuoana. Mzuri mashallah, chotara la kiarabu na Rwanda, refu, black beauty na tumacho kama tugoroli, bila kusahau kasauti kama ka celine Dion, na mbususu tamu na ya kuvutia iliyozungukwa na kiuno nyigu namba nane.

Cha ajabu kwa sasa ikutokea tumefanya ka party uchwara na kumualika, akagundua kuwa kutakuwa na uwepo wa mabinti anaowafahamu hawezi hudhuria. Hata yule chotara wake kwa sasa anakimbiwa, hataki hata kukutanisha naye macho! Amekuwa wa ovyo sana. Kuna kipindi tulimkutanisha na binti aliyekuwa anamuofa pesa na bia, cha ajabu walipoonana ana kwa ana, binti alicheka sana kisha rafiki yetu akatokomea mitini.

Ushauri tafadhari, tunaweza msaidia vipi huyu mwamba? Tumeshindwa tuanzie wapi wakuu!
Chotara wa kiarabu na kinyarwanda ,black beauty,pumbavu zako
 
Hata mm nawakimbiaga wapenzi wangu unakuta mwanamke anataka mapenzi kila siku
Yani niache kuingia JF nihangaike na kwichikwichi kila siku
 
Chotara wa kiarabu na kinyarwanda ,black beauty,pumbavu zako
Hahahaa duuh pumbavu kwel na me namuongezea inawezekana vp mwarabu mara black beauty,mnyawrwanda af mwarabu wa kiuno nyigu wawap race Mia Kwa wakat mmoja hahahaha jamaa muongo Sana duuh lufufu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom