Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,050
- 1,144
1: Tasa- Makaburi ya watu kama hawa hayathamiwi kabisa, ni bora wazikwe kwao ambako kaburi lake litathaminiwa na nduguze.
2: Waliozaa na wanaume wengi - Wakazikwe kwao ili watoto wote wawe wanapata fursa ya kutembelea kaburi (kufagia) pasipo kuwa na masharti yoyote na sio watoto tu hata wanaume zao waliozaa nao watakuwa wanapata hiyo nafasi. Hayo ni maoni yangu.