Mchumba ana hasira

Mchumba ana hasira

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Jamani mnisaide,

Je, kuna sababu yoyote inayofanya umwache mwanamke ambaye hataki ndoa, hatimaye kurudishiwa mahali iliyolipwa?

Na utaratibu wa kurudishwa upo, kama upo upi, zipitie njia zipi au ni NON REFUNDABLE?
 
Mandonga anasemaga umeyakanyaga😂😂
Ila IPO hv Kuna baadhi ya makabila kama mkeo kaamua kuachana na ww bila main reasons na hajakunzalia mtoto hata Moja una haki kwenda kudai Mali yko.
NB.ila kama we ndo umemuacha hata kama Kwa makosa madogo kama hayo ya kuelezeka mahali yko imeenda na maji,,but hii imekaa kijamii Zaid I do known kisheria au kidini imekaaje
 
Mandonga anasemaga umeyakanyaga

Kisheria ni kwa wajumbe au serikali mtaa
Zaid sdhan
 
Kisheria ni kwa wajumbe au serikali mtaa
Zaid sdhan
Issue yoyote kisheria lanzima uanzie Kwa mjumbe wko ye ndo anaye kutambulisha nganz nznazofuata it means serikali za mitaa, ustaw n.k
But it means mpka mnafikishana hko inamaana imeshindika kusolve kifamilia mfano wamegoma kurudisha haki yko
 
Back
Top Bottom