Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja...
Tusemeni ukweli eti una mpenzi halafu jana hajakutext wala hajakukumbuka kwa lolote .
ILIKUUMA pasuka tu pah na useme kwenye huu uzi uliumiaje?? Ili hata uishi kwa amani.
Yaani kila mtu...
Kaka zangu naombeni ushauri
Mimi ni kijana wa miaka 24 Nahitaji kuoa mwaka huu Inshallah Mwezi wa 7, sasa kipengele kuhusu huyu mwanamke yupo mwaka 1 chuo ananipenda sana anataka nimuoe ila...
Kila mtu ameweka profile picture na avator yenye kumaanisha jambo fulani. Ie. Wengine hawajawaka. Naongea na wewe ambaye uweweka. Je ina maana gani au umeweka tu? Kwangu mimi avator yangu ina...
Ndugu zangu.
Imekua ngumu sana kwa sisi wachakataji kupata msicha bikira ulimwenguni hapa.
Pia ni hivyo hivyo ngumu kwa waoaji kuoa binti bikira, unakuta msichana alibikiriwa na baba yake...
Huu wosia nauacha kwa mke wangu na wale wote wanaopenda kuoa wake za marehemu.
Sasa kwa mke wangu nawaambia msije mkamuoa, haiwezekani mahali pangu pa kujidai, namkubja ninavyojisikia eti aje...
Wanazengo nimemvaa mwanamke mmoja ila na wasiwasi sana na mbaya zaidi nilipiga kavu. Kwa mwenye ufaham hivi zile dawa za kuzuia maambukiz baada ya kupiga demu mweny ugonjwa yaan PEP zinapatikana...
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?
Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka
With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote...
Mwaka ndiyo kwanza umeanza ila humu jukwaani zimejaa nyuzi za makasiriko, malalamiko, vijembe; “wanawake hawana mchango wowote?", “kwanini mnazeeka na hamuolewi?” mara "mna nini cha ku-offer? au...
Nini inasababisha hapa bongo wanaume kuteseka zaidi kuhusu wanawake kuolewa au kutoolewa kuliko hata wanawake wenyewe?
Wanaume bongo wako obsessed sana na suala la wanawake kuolewa mapema...
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa...
Waakuu, rejea kichwa hicho km kinavyojieleza hapo juu, namaanisha kichwa cha habari. Siku za hivi karibuni nikikutana na Mwanamke ambae havai Shanga haanipi amsha amsha kabisa.
Why? Wanawake...
Wanasemaga usimdharau mtu usie mjue, kuna siku nilipangiwa mishe ya kikazi kwenye moja ya mkoa fulani hivi hapa nchini
Tukiwa kwenye hizo site kuna mrembo mmoja akawa analeta mazoea na mimi, japo...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu...
Yani hakuna vishawishi vyovyote uivyopitia, umelala vizuri, ila unaamka, unahali mbaya sana, unahamu kali sana ya kufanya mapenzi, nini kinakua kimetokea? kama hii sku ya leo ni hatari sana
Mwanaume au mwanamke anapofanya mapenzi je anabarikiwa au analaanika? Je, anapata uchungu, au furaha?
Je, anahisi upendo, je, anakupenda? Ngono ni ibada ya kubadilishana nguvu, mawazo, hisia, na...
Wakuu salaam.
Tujitaidi kuosha mikono kwa maji na sabuni, kuvaa barakoa na tujiepushe kugusa uso.
Sijui ni kwanini nina bahati mbaya naeza kusema kwasababu siwapendi wanawake walionizidi umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.