Yaping Xi Laan
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,271
- 2,494
Sijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
Cc: CHAPUTASijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
Tumia dawa hii,saga tangawizi na vitunguu thumu,na vikilainika jipake kwenye tundu la haja kubwa na shida itaishaSijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
Tafuta pesa ndugu yangu kazana kutafuta maisha kwanzaSijui na tatizo lpi kila nnayemtongoza ananikataa.saiv n mara ya saba bila matokeo,nifanyaje wakuu
asante kakaAchana na wanawake jikite kumtafuta Mungu na pesa.
vp mwanangu kitaa kinasemajKawasemee kwa babazao
Napambana tuu mkuuvp mwanangu kitaa kinasemaj