Habari zenu wana jamvi!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nimeoa na nina mtoto mmoja na maisha yangu sio mazuri sana huwa napenda kubet sana au kucheza game za token zile za wachina.Sasa...
Mimi bado kijana damu bado ya moto, ni madem wengi wananipaparukia lakini stimu zangu huwa zipo kwa majimama (shuga mummy) .
Kuna jimama moja nimelipata Dar mtaa mmoja unaitwa Chamazi , sasa...
wanawake wanapitia magumu sana haswa wakianza kuvunja ungo. Hapo ndo shida rasmi zinaanza ule usumbufu wa kuingia period kila mwezi na wengine period zao zinaingia na maumivu pamoja na kutokwa na...
Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako.
Punguza kusema...
Poleni na majukumu wazee watarajiwa.
Kuna nyakati mtu unakaa na kuyatafakari maisha, ni juzi tu tulikuwa vijana, tunaenda huku na kule maisha safi. Leo hii tupo kwenye umri ambao tayari ni wazee...
Maisha yanaenda kasi sana na umri unakimbia vibaya mno. Kuna wakati unachukua wasaa na kukaa chini kutafakari mambo mengi unayoyapitia. Ukipiga hesabu kuna mambo mengine unaishia kufurahi tu...
Why Silent Wives Are the Most Dangerous Wives in Marriage - By Bisi Adewale
Silence in a wife is not peace.
Silence is not submission.
Silence is not maturity.
Most times, silence is a...
Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka...
Wasalam Wana JF
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27 katika harakati zangu zamaisha nimeshakua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti na swala la kuchakata lilikua siolakuniumiza kichwa...
Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi.
Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale...
Enzi nikiwa skuli ya msingi,sekondari mpaka chuo nilikuwa mpiga nyeto promax, sasa nipo uraiani,kila nikijaribu kufanya mapenzi na my wife niliyemuoa hivi karibuni machine haisimami! Naenda...
Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.
Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini...
Wakuu
Niisiulizwe kuwa asubuhi hii unazungumzia mapenzi, maana nina kama miezi 8 hivi namfukuzia demu bado hajanikubalia,
So nimeona nilete mada hii asubuhi asubuhi nipate mwongozo kuwa...
Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo...
Kuna hii datting site inaitwa bibo mwenye uzoefu nayo wanatumia mfumo wa credit(coin) aisee credit inaliwa kama maji.
Na madem nawaona ni wengi mpaka najiuliza ni watu halisi au ni marobot japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.