Ngono ni ibada na madhabahu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,785
Mwanaume au mwanamke anapofanya mapenzi je anabarikiwa au analaanika? Je, anapata uchungu, au furaha?

Je, anahisi upendo, je, anakupenda? Ngono ni ibada ya kubadilishana nguvu, mawazo, hisia, na roho. Wakati wa ngono unakuwa sifongo ya kiroho kwa fahamu na nishati ya mtu mwingine.

Jiulize, "Je, yanachaji upya, yanaponya na kujaza roho yako? Au yanamaliza nguvu zako na nguvu za maisha?" Kuwa mwangalifu na Nguvu za Kweli Zinazomiliki Ngono. Mashetani wapo na watakunyonya roho yako!
 
Una nguvu juu ya afya yako na ustawi.

Unadhibiti seli zako na gene zako.

Mawazo na mazingira yako yanaweza kukuponya kutoka ndani na nje yako
Yote hayo yanategemea na nyota ya uyo unayepiga,
ndo maana usishangae Wengine wanatumia gharama Kubwa kufanya ngono na flani, Tena kwa ushindan mkubwa sn.

Jicho la tatu lishaona, Ukipiga pale unatoboa.

Ngono inaweza kua Njia ya mafanikio/mikosi
 
I feel like declaring something, ila kuna roho imesita....🤔🤔🤔

1. Making Love (kiswahili chake 🤷‍♀️🤷‍♀️)

2. Sex (kiswahili chake 🤷‍♀️🤷‍♀️)

Asemacho Mshana ni uhalisia wa maisha ya mwanadamu, yanatokea kwa wengi.
 
Heeeee
Ndio maana Juma akikunyandua unaanza kunenepa/ kunawiri.
Ukimuonja Shabani unachundaaa

DeepPond kasema
Sahii kabisa,
Na asilimia Kubwa ya wenye nyota za mafanikio kupitia ngono, wao hawanufaiki na nyota hizo. Huwa wanakua ni daraja TU.

Juma anaekunyandua ukanenepa,
Utashangaa kuona afya yake yeye kadhoofika.

Shaban anaekunyandua ukachunda,
Utashangaa kuona afya yake kanawiri ile mbaya.

CHUNGUZA HILO MKUU
 
Yote hayo yanategemea na nyota ya uyo unayepiga,
ndo maana usishangae Wengine wanatumia gharama Kubwa kufanya ngono na flani, Tena kwa ushindan mkubwa sn.

Jicho la tatu lishaona, Ukipiga pale unatoboa.

Ngono inaweza kua Njia ya mafanikio/mikosi
Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.

Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.
 
Sahii kabisa,
Na asilimia Kubwa ya wenye nyota za mafanikio kupitia ngono, wao hawanufaiki na nyota hizo. Huwa wanakua ni daraja TU.

Juma anaekunyandua ukanenepa,
Utashangaa kuona afya yake yeye kadhoofika.

Shaban anaekunyandua ukachunda,
Utashangaa kuona afya yake kanawiri ile mbaya.

CHUNGUZA HILO MKUU
😃😃😃 dah
 
Ngono sio ngono tu; usiwaache wakudanganye.

Unaweza kuondoka, lakini nguvu zao zimefungwa kwako. Mawazo yao, mitetemo yao, na nafsi hufungamana na yako. Ikiwa una uhusiano wa kingono na watu kadhaa kwa wakati mmoja, basi unachukua nguvu kadhaa. Ndio maana kuna wakati unajihisi kuchanganyikiwa, huzuni, uchovu, hasira, furaha, au mfadhaiko. Huishi peke yako tena; una nguvu zao hasi na chanya mchanganyiko.
Mshana tatzo unatumia filosofi Sana kufafanua mawazo yako, utadhan wahenga

Be simple,
Ebu tumia lugha nyepesi basi,
Kama vile tuko kijiweni tunapiga story.

Dah!
Yaan comment yako Ni ngumu ngumu sn
 
Back
Top Bottom