Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kijana anakutana na mwenzake, wanakuwa na mahusiano, baada ya hapo wanaanza kuishi pamoja kama mume na mke. Wanapata watoto, wanasaidiana majukumu, wanatambulishana ndugu zao, n.k. Miaka mingi...
7 Reactions
27 Replies
661 Views
Habarini Wana Jamvi. Nimeamini kweli Mke Wa Mtu ni sumu jamani, lilichonikuta mwenzenu basi nimekoma. Picha Ilikuwa Hivi. Week Iliyopita Nilipata Dili Furani Kijijini, Baada Ya Kufika Kule...
32 Reactions
143 Replies
19K Views
Mwaka jana mwanamke mmoja aliomba Gerald .Aliomba TSH200k as a kwa dharura. mara ya kwanza aliogopa lakini mwanadada alilia . Alikua anaitwa Mwende Hakuwa na pesa kwa hivo ilibidi aombe...
5 Reactions
21 Replies
671 Views
Kuna elimu nlkuwa nataka kwenu il njpange na maisha.Ila nliigiza kama mzee ndio niipate mawaidha Ambachonmegundua,mabachela...
6 Reactions
14 Replies
267 Views
Wakati yeye akipambana apate japo Abaya ya sikukuu ya Idi kutoka kwangu yeye analeta zawadi iliyopitwa na wakati ya soksi pea mbili za buku buku nimefadhaika na kuhuzunika sana ni bora asingeleta.
12 Reactions
46 Replies
678 Views
Wewe jimwambafai tu kuwa unawaweza wanawake,ipo siku yako inakuja ukimkorofisha akuachie hako katoto hata ka miaka miwili tu nyumbani yeye aende kwao, utatamani ukapige magoti kwa wakwe zako arudi...
5 Reactions
16 Replies
284 Views
Marriage license ==== Fahamu Zaidi Tafiti: Waliopo kwenye ndoa, huishi maisha marefu zaidi tofauti na waliopo 'singo'!
8 Reactions
85 Replies
799 Views
Unakuta mwamba ana wake wawili watatu ila kila siku unakutana nae kwa wakina fatuma ndala ndefu na jesca utelezi. Polygamy haijawahi kua dawa ya kushinda uzinzi wa mwanaume. Polygamy ni...
8 Reactions
13 Replies
805 Views
Habari zenu wana JF Bila kuponda muda niende moja kwa moja kwenye mada husika Hivi ni sawa kwa mtu awe mwanaume au mwanamke kukosa ujasiri wa kusimama na mpenzi wake mbele ya EX wake. Jamani...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life. Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala...
23 Reactions
175 Replies
2K Views
1. At the age of 14, they look very sweet, fresh and beautiful 2. At 16, they probably have their first s*x, they stick to one guy and talk about how they won't leave him. 3. At 18, they are in...
11 Reactions
34 Replies
641 Views
  • Redirect
Leo katika arakati zangu za udereva boda boda nikampakia jamaa frani ambae kapanda sana hewani Yani ni mrefu sana alafu kazajia kinoma inaonekana ni mtu wa Jim sana bas akanipa safari ya kumpeleka...
0 Reactions
Replies
Views
Baadhi ya wanawake,si wote wanadharirisha sana,unakuta mama mtu mzima kavaa suruali aibu tupu,suruali imembana mpaka inaonesha maungo adhmu ya ndani, Tunawafundisha nini watoto wetu na jamii kwa...
8 Reactions
48 Replies
599 Views
Wanaodai kufanya sex zaidi ya 2 min MPAKA WENGINE ufanya 45 min na 1hr , kama wahubiri wanahubiri na kuomba masaa 6. Unapata nini? Sex ni burudani sio kazi ukichoka BAADA ya sex hiyo sio burudani...
14 Reactions
69 Replies
1K Views
Kila nkipita kitaa wananizungumzia,yan mdog wako anaoa mbele yako. Hata humu jukwaan wamenisema vibaya baada ya ule uzi wa bora wa kuwa...
9 Reactions
66 Replies
794 Views
Hofu yangu kubwa ni kuendelea kukaa single naona kama sijakamilika bila kuwa kwenye mahusiano wala kuwahi kuchakata mbususu hadi namaliza, naamini kuna jf experts mliowahi kuvuka hii hatua...
3 Reactions
14 Replies
348 Views
Nyota yake imeng'aa sana, hayupo kwenye mfumo Lakini imani yangu kwake ni kuwa atashinda urais 2030
3 Reactions
22 Replies
253 Views
Wakuu, Hali ni mbaya kila pembe nchini,ukiwa mji wowote ktk nchi hii huwezi kutembea mita hamsini bila kukutana na mwanamke aliyevaa nguo fupi na ya kutia kinyaa na aibu kwa watazamaji. Unakuta...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Kuna jamaa kitaa ni bodaboda ana mke na mtoto mmoja, mke wake alipoondoka kwa kugombana,jamaa sasa amekuwa mtu wa mawazo kila muda,anakuja na kujiinamia tu, Mipangilio wa maisha yake imebadilika...
8 Reactions
35 Replies
619 Views
Back
Top Bottom