Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini...
3 Reactions
80 Replies
2K Views
Wakuu Niisiulizwe kuwa asubuhi hii unazungumzia mapenzi, maana nina kama miezi 8 hivi namfukuzia demu bado hajanikubalia, So nimeona nilete mada hii asubuhi asubuhi nipate mwongozo kuwa...
5 Reactions
24 Replies
496 Views
Yaani alikua ananisumbua kinyama Sasa nashangaa Sasa hivi anashobo na Mimi nishamchoka hata kabla sijagonga aisee yaani nashangaa tu sinamzuka nae hizi meseji za Jana sijamjibu mpaka Leo...
1 Reactions
28 Replies
655 Views
Napitia wakati mgumu Mke wangu ananinyima tendo la ndoa kisa israel na iran wanapigana
4 Reactions
12 Replies
207 Views
Kuna hii datting site inaitwa bibo mwenye uzoefu nayo wanatumia mfumo wa credit(coin) aisee credit inaliwa kama maji. Na madem nawaona ni wengi mpaka najiuliza ni watu halisi au ni marobot japo...
8 Reactions
64 Replies
986 Views
Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
6 Reactions
29 Replies
615 Views
Maana upendo ndio kila kitu,msidharau mwenzako ila mpende kwa raha na taabu.Ili tuweze kuwapa vijana moyo wa kuoa maana wanaona n kama watateseka.
1 Reactions
6 Replies
120 Views
Jipange vizuri kiuchumu, tafuta mwenza sahihi, usisikilize maneno ya watu au fulani kaoa ngoja na mimi nioe try at you own risk. Jipange kwanza usifate mkumbo
13 Reactions
62 Replies
826 Views
Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata? Hii ni kwangu tu au
13 Reactions
128 Replies
3K Views
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa. Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba...
12 Reactions
115 Replies
5K Views
I'm a man of 43 age On child Christian VIH + OWN BUSINESS SEARCHING SOME WOMAN OR GIRL TO MAKE FAMILY WRITE ME TO KANUMBAYVE@GMAIL.COM
0 Reactions
1 Replies
143 Views
1. mweupe kiasi si michubuko 2. umri kati ya miaka 25 hadi 30 3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6 4. awe tayari kusimamia biashara 5. Asiwe na mtoto 6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili...
9 Reactions
66 Replies
1K Views
Midada myengine inamambo ya ajabu lijitu unalitongoza kwa staha na ukimya ila lenyewe likiwa limekoswa ustahimilivu linakujibu kwa kubwatuka kwanguvu!, ni kama vile limepewa kipaza sauti ama tupo...
10 Reactions
35 Replies
578 Views
Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa...
7 Reactions
41 Replies
716 Views
Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika...
28 Reactions
182 Replies
2K Views
Mwanaume hukatazwi kuwa na michepuko,lakini make sure mke wako asijue kuwa una michepuko, akishafahamu tu kuwa unatoka na fulani na akathibitisha kuwa ni kweli,hata kama hatakwambia lakini atakaa...
3 Reactions
15 Replies
273 Views
Wakuu wasalam Kuna madem wanazingua kinoma, unampanga anakubali. Unajiandaa vizuri, mwanamke anafika anaanza sipo vizuri, sijajiandaa, leo simba wanaruka. Sasa kama ulijua hivyo umefata nini! ....
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Mnaamka wote pamoja asubuhi, mnaenda kwenye ofisi yenu pamoja kwenda kuzitafuta. Mnashinda pamoja mkipambana na maisha, mkisaidiana mawazo na nguvu. Jioni mnarudi pamoja nyumbani, mmechoka...
7 Reactions
41 Replies
810 Views
Tafiti iliyofanywa na Taasisi ya Mahusiano na Unyumba imebaini kuwa ni 1% tu ya wasichana hufika miaka 20 wakiwa bado hawajawahi kufanya mapenzi. Sababu zikidaiwa kuwa ni :- 1. Kushindwa kuhimili...
23 Reactions
103 Replies
3K Views
Back
Top Bottom