Wakuu kwema
Kuna mkasa naomba ni share na nyinyi hapa ulinitokea last year. Nilipitia kipindi cha sonona ila badae nilikuja kukaa sawa na sasa hivi life goes on ila siwezi sahau.
Ilikua hivi...
Habari,
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa, nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza...
Mwanamke akifanya hivi unafukuza pasipo mijadala wala kuomba ushauri;
1. Akiku-cheat.
2. Akiwa mshirikina au mchawi.
3. Akikunyima unyumba bila sababu ya msingi au anakupa kadiri anavyojisikia...
Kama walivyo wengine utakumbana na vikwazo vya kila aina katika kuelekea katika kufikia malengo yako ambayo umejiwekea.
Kuna vikwazo mbalimbali ambavyo unatakiwa kukabiliana navyo mpaka kufikia...
Eti wakuu kwa uzoefu wenu kuna mapenzi ya hivi kweli bongo hii? Isije kuwa anaimbaimba tu vitu ambavyo havipo huyu kijana.
na nyie wadada fungukeni. Au anatudanganya tu huyu mwenzenu, Nisije...
Mahakama ya juu nchini Kenya imetoa uwamuzi kuwa wanandoa wakiachana kila mtu ataondoka na mali aliyo pata kibinafsi na kufutiria mbali sheria ya kugawana mali pasu kwa pasu pindi wanandoa wanapo...
Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
Swali lenyewe ni hili, kama huyo mdada unae-date naye angekuepo kwenye nafasi ya kutoa msaada uliyo nayo wewe, huyo mdada angekupa huo msaada?
Mfano umempa mwanamke unae-date naye smartphone ya...
Nimechoka, Najisikia Uchungu sana!
Hadi kupika napika!Hello Jane,
Sijajua kitu gani kimetokea katika ndoa yetu, tulizoea kuwa na tendo la ndoa mara 3 kwa wiki na sasa ni mara moja kwa miezi...
Na hili nalo ikiwezekana mkalitizame kwa jicho yakinifu
Nikiwa kwenye kituo fulani hivi cha bodaboda mida ya saa mbili nikiwa naelekea kazini kwangu, ghafla moyo wangu unashtuka baada ya kumuona...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini ndoa nyingi za watu waliopishana miaka michache (rika moja) huwa zinadumu muda mrefu na kuwa na changamoto...
Unapoyaanza maisha yako baada ya kutendwa/kuachwa, huwa ni wewe utayebeba matokeo yoyote yale ya kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii.
Unapokuwa peke yako unapambana na upweke, unapambana na...
Ni mambo ya ajabu, kuwa na mahusiano na mtu asiyekuwa na moyo wa kutoa, anayetoa na mnapogombana ama kupishana anadai vitu vyake.
Kuna msichana alimpa mwanaume simu, baada ya mwanaume simu yake...
Habari wakuu,
Leo nami ngoja nitoe ya moyoni nipate ushauri. Nimeolewa na ndoa yangu ina miaka sita sasa na tumejaaliwa watoto wawilj wakike na wa kiume.
Nlikutana na mume wangu akiwa na tatizo...
Huko nchini Uganda Mahakama imeamuru Mwanamke mmoja alipe gharama ya Ush 10 millions kwa sponsa wake kama fidia ya Mwanamke huyo kumuacha njia panda sponsor baada ya kusomeshwa.
Imeelezwa...
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!
Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.
Lkn midume inaendelea kula...
Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka...