Ni kipi bora Wakuu!?

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
 
Nipo nawaza tu hapa hivi kama umeoa,ni lipi bora pale unapohitaji kuchangamsha mwili na mama watoto yuko mbali na wewe,kuwa na mchepuko au kuishi kununua mbususu (malaya).....?
Kama kweli unampenda utashinda vishawishi.
Ukishaoa usiruhusu tamaa ikutawale na kamwe usiruhusu mawazo mabaya yaitawale akili yako.
Kama kweli unampenda utamlinda na utavumilia.
 
Shtua kijoti kidogo kama uvumilivu 0
Au mnasemaje?

IMG_20230105_114946.jpg
 
Back
Top Bottom