Ushauri kwa wanaotaka kuoa, tafuta mke unayemmudu

Nakukunda

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
877
1,635
Habari,

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa, nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk.

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk, ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa.

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu, namaanisha all aspects sababu kwa mujibu wa maandiko ya dini yangu, mume ni kichwa hii 50/50 ndiyo imeanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu. Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyooshe mkono.

Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume.

Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu, na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake.

Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna; tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani, sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vizuri kitandani, wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
 
NAOG
Habari

Nimekuwa nikifuatilia nyuzi mbalimbali hapa

Nilichojifunza mapenzi ni dynamic, not all size fit for all. Sio kila ushauri unaweza kuwork kwenye mahusiano yako sababu tunadeal na wenza wenye haiba mbalimbali, utashi, tabia, uwezo na personality nk

Muhimu kwa kaka na wadogo zangu wa kiume

Pamoja na vigezo vyako vingi unavyoweza kuwa navyo kama uzuri, tabia, sura , mbususu tamu nk..

Ukitaka kuchagua mke/mwanamke tafuta unayemmudu na weka hiki kama moja ya kigezo kikubwa

Nikisema kummudu simaanishi kifedha tu namaanisha all aspects sababu kwa mujibu ya maandiko ya dini yangu, Mume ni kichwa hii 50/50 ndo meanza kuleta shida kwenye maisha.

Mke anapaswa kuwa mshauri mkuu na msaidizi kwa mujibu wa maandiko, ila pale ambapo mwanaume hasimamii vizuri nafasi yake kama kichwa, hapo ndipo matatizo huwa yanaanza.

Hizi story za kanipiga kizinga huwezi kuzikuta kwa mwanaume aliyemchagua mwenza anayemmudu.Ukiona uwezo wako ni wakina Mwajuma kandambili basi chagua huko, Ukiona uwezo wako ni wakina Wema Sepetu basi chagua hao, ukiona uwezo wako ni kina Jackline Mengi basi chagua type hizo.

Mmudu kifedha simaanishi kuwa tajiri hapa namaanisha yule unayeweza kuafford kwa uwezo wako. Sisi wanawake bana ni receiver by nature, hata kama ukiwa billionea trust me hela ya mume/mwanaume ni tamu jamani kama kuna anayebisha anyoshe mkono. Men are provider by nature and women are receiver by nature. Hata nature ya maumbile yanaonesha hilo kwa maana ya maumbile ya kiume yamechomoza mbele na kike ni kitundu kwa ajili ya kupokea maumbile ya kiume. Ili usipigwe vizinga vya million 3 kama kaka yangu mmoja hapa basi chagua unayemmudu na hapa si kwa mke tu hata wale mnaosakata Mbususu.

Mmudu kitabia, hapa simaanishi aliyekamilika ila ambaye unaweza kuvumilia mapungufu yake na unajua strength zake. Yule ambae akikasirika basi unaweza kumudu reaction zake, wapo wanawake wakichukia wanarusha rusha vitu ovyo kama kupasua TV, wengine wakikasirika huwa wanalia ukimhug na kumbembeleza imeisha, wapo wanaobinua mdomo kama Asha Ngedere, wapo wanaonuna..Tafuta yule ambaye unaweza kummudu kwa situation zote.

Mmudu kitandani sitapaelezea maana JF member almost wengi sana wako vzr kitandani na wana nguvu za kiume na wana PhD ya mapenzi according to nyuzi zao nyingi. Wachache tu ndo tunauwezo wa kawaida.

Naomba kuwasilisha.
NAOGOPA KUSEMA CHOCHOTE NGOJA NISUBIRIE WATALAAM WASEME NENO MIMI BADO MTOTO MDOGO KWENYE HIZI MAADA
 
MTOA MAADA NAOMA NIKUULIZA MAHUSIANO YA NDOA AU YA AINA YOYOTE NI STATIC??????? UKINIJIBU KUNA NITAKALOONGEZEA OTHERWISE FORMULA ZAKO HAZIFANYI KAZI YOYOTE.. HAKUNA KIUMBE AMBACHO KINAWEZA KUWA NAMAWAZO YALE YALEE MUDA WOTE HADI USEME TUWE KWENYE MAHUSIANO TUNAYOWEZA AU KUWA NA WATU TUNAOWEZA KUWAMUDU..UNAWEZA KUWA NA UWEZO WA KUMUDU MIEZI SITA YA KWANZA GHAFLA IKATOKEA YA TheMnyonge hapo utasemaje?
 
Kanuni ni moja tu....na ndo inafanya kazi kwa asilimia miamoja ni kula tunda kimasihara awe mwajuma sijui wema sepetu sijui nani ni mwendo wa @rikboy...ayo mengine ya kuumudu hata bilget yamemshinda...
 
sahihi mkuu.. Kummudu mtu ni too relatively phenomenon
 
MTOA MAADA NAOMA NIKUULIZA MAHUSIANO YA NDOA AU YA AINA YOYOTE NI STATIC??????? UKINIJIBU KUNA NITAKALOONGEZEA OTHERWISE FORMULA ZAKO HAZIFANYI KAZI YOYOTE.. HAKUNA KIUMBE AMBACHO KINAWEZA KUWA NAMAWAZO YALE YALEE MUDA WOTE HADI USEME TUWE KWENYE MAHUSIANO TUNAYOWEZA AU KUWA NA WATU TUNAOWEZA KUWAMUDU..UNAWEZA KUWA NA UWEZO WA KUMUDU MIEZI SITA YA KWANZA GHAFLA IKATOKEA YA TheMnyonge hapo utasemaje?
Soma vzr kwanza

Nimesema not all size fit for all
Pia nimesema ni dynamic sio static
Na kingine nimesema wenza hawafanani, formula unayoweza tumia kwa Mwajuma haiwezi kuwork kwa Asha and likewise.

Ukiwa Kichwa na ukasimama kwa nafasi yako familia itakuwa stable.
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
 
Kanuni ni moja tu....na ndo inafanya kazi kwa asilimia miamoja ni kula tunda kimasihara awe mwajuma sijui wema sepetu sijui nani ni mwendo wa @rikboy...ayo mengine ya kuumudu hata bilget yamemshinda...
Bilgert na Belinda fedha haikuwa shida na lugha nyingine kwa hiyo bado mwamba alimmudu but kuna reason more than that, matajiri wengi mapenzi sio priority na wenza wao wengi wanaishi very lonely life. Business/work life balance huwa ni changamoto kulingana na nature ya majukumu yao.

Na wengine wameoa feminist
 
Kwa hiyo unakubaliana na sisi kuwa hakuna muda ambao unaweza kuwa determinant ya kumuudu huyo mwenza wako? Imagine Biligate na Belinda wametoka wapi why at age ya umri wao ndiyo washindwe kumudu?
 
Ufafanuzi

Ufafanuzi nisaidie hivi Wanawake mnakuwa manamaanisha nini mkisema .. Mwanaume ni Kichwa cha Familia??? Kama ni Kichwa cha Familia kwa nini akikwambia acha kazi unashupaza shingo? Ukichwa mnaousema upo kwenye upande upi.. Wakugegeda au?
Mkuu kasome maandiko utaelewa maana ya kichwa, kuwa kichwa sio ubabe wa kumuachisha mtu kazi au kumnyanyasa mtoto wa watu, kichwa simply ni uwezo wa kusimama na kuongoza familia yako, kusimamia mission and plan za familia kama.kiongozi mkuu , kuiongoza familia yako Kiroho ,.kimaadili, kimalezi na kimwili...Mke anapaswa kuwa mshauri na msaidizi wako mkuu.
 
Kwa hiyo unakubaliana na sisi kuwa hakuna muda ambao unaweza kuwa determinant ya kumuudu huyo mwenza wako? Imagine Biligate na Belinda wametoka wapi why at age ya umri wao ndiyo washindwe kumudu?
Narudia tena
Soma na uelewe vema
Nimetoa more than one determinant na nyingine sijaandika ila sifa za kiongozi bora ni kumudu majukumu yake vema ikiwemo wale anaowaongoza.

Mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja

Nawasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom