Amenihonga simu, kisa nimekataa kumrudishia simu yake ameenda kuniroga

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Ni mambo ya ajabu, kuwa na mahusiano na mtu asiyekuwa na moyo wa kutoa, anayetoa na mnapogombana ama kupishana anadai vitu vyake.

Kuna msichana alimpa mwanaume simu, baada ya mwanaume simu yake kubwa kuharibika. Lakini kwa muda hawakuweza kuonana na ndipo mwanamke alipowaza ni bora achukue simu yake aachane na mwanaume huyo. Alipomwambia mwanaume akakataa kumpelekea simu.

Sasa mwanaume anahaha baada ya kusikia habari za kumtisha, amemtafuta mwanamke wake kwenye simu hakumpata, akaamua kumpigia rafiki wa mwanamke wake, ndio akampa taarifa kuwa " mwenzio katoka amezima simu ili usimpate, kasema anaenda kwa Mganga akakuroge".
 
IMG_3329.jpg
 
Mwanaume unahongwaje halafu unagoma kurudisha mali za watu? unapoelekea utakuja kuhongwa na mamende
 
Ni mambo ya ajabu, kuwa na mahusiano na mtu asiyekuwa na moyo wa kutoa, anayetoa na mnapogombana ama kupishana anadai vitu vyake.

Kuna msichana alimpa mwanaume simu, baada ya mwanaume simu yake kubwa kuharibika. Lakini kwa muda hawakuweza kuonana na ndipo mwanamke alipowaza ni bora achukue simu yake aachane na mwanaume huyo. Alipomwambia mwanaume akakataa kumpelekea simu.

Sasa mwanaume anahaha baada ya kusikia habari za kumtisha, amemtafuta mwanamke wake kwenye simu hakumpata, akaamua kumpigia rafiki wa mwanamke wake, ndio akampa taarifa kuwa " mwenzio katoka amezima simu ili usimpate, kasema anaenda kwa Mganga akakuroge".
Hakuna uchawi juu ya israel
 
Ndio utajua kwnn sheikh twain aliongea na mwanamke sio kidume. Anajua kabisa angekula makofi mazito mno dadeq
 
Back
Top Bottom