Habari za wakati huu ni mbaya kweli kweli..
Mm hata nigombane vipi na mwanamke sitorudia tena kugoma kula usiku aisee hata kama ni kwa kumpima mwanamke akili yake siwezi rudia kosa la kugoma kula...
Siku hizi wa dada wa mjini mnakatabia kuacha kitambulisho chenu mnapo karibishwa kwenye maghetto yetu.
Tumejuana muda mfupi ni mekukaribisha ghetto umekuta kuna kila kitu tena ghetto la mangwear...
Poleni na vumbi na jua kali ...
Pindi unapotongoza mwanamke anaonyesha kabisa kukuelewa na anapo kuja kuuliza unafanya kazi gani then unampa jibu la kazi unayo fanya unakosea sana ndugu...
Aisee wanasema milima haikutani lakini Binadamu wanakutana,
Hiki ni kisa Cha kweli mwaka huu, Nilisafiri kikazi kwenda mkoani Tanga na Kwa kawaida ni sehemu ambayo huwa naenda mara kadhaa...
Habarini wana jamvi.
Kwa kifupi mi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli zangu...
Kijana wa kiume.
Ewe mwanaume.
Nakuita tena wewe mwanaume mwenye sifa zote za uanaume.
Inakuje umeamua kukubali kuudumiwa na mwanamke kwa kila kitu,jamani inasikitisha sana.
Mwanaume leo hii...
Hello dadaz.
Badilikeni Kubadilisha mwanaume sio guarantee ya wewe kuolewa.
How come [emoji23] ladies wanaume watano umewapanga halfu unawaita mabuzi ndo ya kuuhudumie.
Leo hii kutoa papuchu...
Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo
Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na ugwadu.
Ukiwa na ugwadu unakua...
Nashauri wizara ya afya ije na kampeni maalumu ya kutoa elimu kwani watu sasa hivi wanaamini ukimwi hauambukizwi na watu condom hawatumii kabisa wanachilimuana kavukavu sio poa
Habari.
Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia.
Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability.
Tafuta...
Najua hali ni mbaya sana hamna haja ya salamu
Wakuu nimesoma nyuzi nyingi na nimezungumza na watu wengi nimegundua kuwa kuna asilimia kubwa ya watu wapo kwenye mahusiano lakini mahusiano hayo ni...
Jumatano njema.
Kama kichwa cha uzi kinavyosema,nimeficha sufuria la nyama chini ya kitanda chetu.
Mke wangu hana bajeti kila nikinunua mboga lazima agawe gawe hovyo.
Sasa leo nilinunua nyama...
Hello.
Mapenzi yamekufanyia nini ambacho hautakaa usahau Maishani mwako?
Kwa upande wangu mimi, nilishawahi kumpenda Mtu kwa Moyo wangu ila alienda kwa mwingine iliniuma sana.
Najihisi nina bahati mbaya
maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu...
Leo niko hovyo sana akili haijatulia kabisa, nimekutana na pisa moja chuo fulani, sura, ipo, shepu ipo, kagawika vizuri, trackoo very standard hana mtrakoo ila trackoo ipo.
Katikati ya tracko...
Hello jf member habari.
Kwanza niwashukuru sana kwa watu wote mliweza kunikaribisha mimi mgeni hapa.
Japo napokea matusi mara wewe sijui shemale ,wengine wanataka kujua jinsia yangu, mara ooh...
Kutokana na tafiti za maongezi nilizofanaya nao wengi wao nikagundua kumbe ni asili yao kutawaliwa na mwanaume na wanastahili kutawaliwa na mwanaume.
Wao wenyewe pia wanakiri Hilo kuwa wanapenda...
Habari zenu watu?
Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text...
Naenda Kwenye Maada: Nina Mke Wa Ndoa Tumebahatika Kupata Watoto Wawili Wa Kiume Mmoja Miaka Minne Mwingine Miwili
Mienendo Kwenye Ndoa Yangu Naona Kuna Hali Ya Kuja Kutawaliwa Na Mke Wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.