Kipi hautasahau kwenye maisha ya mapenzi?

Kipi hautasahau kwenye maisha ya mapenzi?

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
519
Reaction score
1,553
Hello.

Mapenzi yamekufanyia nini ambacho hautakaa usahau Maishani mwako?

Kwa upande wangu mimi, nilishawahi kumpenda Mtu kwa Moyo wangu ila alienda kwa mwingine iliniuma sana.
 
Shida kizazi hiki kimeyapa kipaumbele sana mapenzi..

Zamani wazee wetu kipaumbele kilikuwa maisha, watoto na familia...

Mapenzi is just a perishable consumable.
 
Kwenye mahusiano mimi nina kiburi hata manzi nimwelewe vipi sipendi kumshobokea mara meseji au simu ni mara moja moja mimi kuanza

Mara nyingi nataka yeye aanze kunipigia au kunitext then na mimi huwa naliendeleza vizuri tu

Hii tabia huwa ina +ve na -ve impacts. Mojawapo ya -ve impact nimejikuta tunapotezeana, mawasiliano yanapungua mpaka mahusiano yanakufa
 
Shida kizazi hiki kimeyapa kipaumbele sana mapenzi..

Zamani wazee wetu kipaumbele kilikuwa maisha, watoto na familia...

Mapenzi is just a perishable consumable.
Sasa watoto,familia maisha vyote si vinaundwa na mapenzi
 
Kwenye mahusiano mimi nina kiburi hata manzi nimwelewe vipi sipendi kumshobokea mara meseji au simu ni mara moja moja mimi kuanza

Mara nyingi nataka yeye aanze kunipigia au kunitext then na mimi huwa naliendeleza vizuri tu

Hii tabia huwa ina +ve na -ve impacts. Mojawapo ya -ve impact nimejikuta tunapotezeana mawasiliano yanapungua mpaka mahusiano yanakufa
Mungu mwema.
 
Yani siku hizi mtu kuachwa eti anapata stress?

Sex was meant for nurturing our brain, nothing else..
Tatizo wajuba wana zama kizembe kwenye dimbwi zito la mapenzi


Principle ni ile ile...As a man you don't have to fall in love..just stand on it
 
Kuachwa kunauma kuliko risasi?Unaijua chuma au unaisikia[emoji23][emoji23]
Utapigwa chuma cha mguu baadae utaomba chips na soda .

Lakini kuachwa kunaweza kukakufanya ukakosa hamu ya Kula mwezi mzima,.

Hivi unadhani wale wanaojinyonga kisa mapenzi ni wajinga?

Ni kwamba wameshindwa kuvumilia maumivu ya kuachwa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Sasa watoto,familia maisha vyote si vinaundwa na mapenzi
Bado hujakua...

Some of us consider sex is for leisure and procreation, for your information.

I may love my wife but its not a guarantee for me to be idiot because of love.
 
Utapigwa chuma cha mguu baadae utaomba chips na soda .

Lakini kuachwa kunaweza kukakufanya ukakosa hamu ya Kula mwezi mzima,.

Hivi unadhani wale wanaojinyonga kisa mapenzi ni wajinga?

Ni kwamba wameshindwa kuvumilia maumivu ya kuachwa.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Sidhani kama upo serious mkuu [emoji28]

Sawa mapenzi yanauma lakini hayawezi kukuua moja kwa moja

Ukipigwa chuma ya mguu inaweza kukuacha na ulemavu wa kudumu,utalinganisha maumivu ya mapenzi na kuachwa?

Ukipigwa chuma usipopata matibabu tunakukosa utavuja damu mpaka ufe

Ukipigwa chuma ya kichwa ndo hata maji huombi unarudisha visa dakika sifuri

Acha kulinganisha maumivu ya chuma na vitu vya ajabu[emoji28]
 
Back
Top Bottom