Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna kipindi niko Dar nilifahamiana na binti mmoja alikuwa anasoma UDSM (tumwite Jane siyo jina lake halisi) na mm pia nilikuwa nasoma hapo. Sasa yeye alikuwa na changamoto flani iliyomsumbua sana...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna demu nimemtongoza leo leo na kwa bahati nzuri amekubali ila cha ajabu ameshaanza kuniambia mambo ya kwenda kujitambulisha kwao yaani sijachukuwa hata point 3 zangu tayari anataka niende...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni sikitiko la nchi kila mmoja wenu anadai anamtaka anayedate naye awe Tall, Black and Handsome pasipo kujali vitu vya maana kama Ucha Mungu, Heshima, Upendo, Kuwajibik , Uvumilivu. Tafiti...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Hello. Single mother moja kwa moja jamii inawaona kama ni watu wapambanaji sana. Ila niseme Singo mama wengi kwa sasa ni moja ya njia ya Udangaji. Haiwezekani kabisa mwanamke mwenye Tabia na...
3 Reactions
10 Replies
603 Views
Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa. Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni...
15 Reactions
62 Replies
4K Views
Chanzo cha haya yote, ni kutaka kutushawishi sisi wanaume. Kweli mwanamke bila mwanaume hajakamilika. Tazama...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi hili kuwa kubwa la hawa binadamu ambao wakiulizwa maswali kuwa kama wanawapenzi .....? Hili jibu la kuwa wapo single na wanafuraha ni Uongo mtupu. Eti "Single and happy"...
3 Reactions
11 Replies
719 Views
Hello. Maisha ni uwekezaji, Turudi kwa mapenzi,umewekeza kitu gani kwenye mapenzi ambacho unadhani kinaweza kukuletea faida. Maana uwekezaji unaenda mojamoja na matokeo chanya na hasi.
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wapendwa Hivi ni kweli manzi mvuta bangi anakuwa na mapenzi ya dhati, tofauti na manzi wa kawaida? AU ni akili za BANGI
1 Reactions
82 Replies
4K Views
1. Mimi ni msichana wa Miaka 28, ninaishi Dar. 2. Nina mpenda na kumtukuza Mungu aliyehai, dhehebu langu ni KKKT. 3. Elimu yangu ni Degree na ninafanya kazi pia. 4. Napenda kufurahi, kujifunza...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Muda mchache uliopita nimesikia mambo ambayo yamenistaajabisha sana. Nilienda salun kwa ajili ya kunyoa, kwavile palikuwa na foleni, nikawa nimekaa kwenye benchi nje, nachezea simu huku nasubiria...
21 Reactions
119 Replies
6K Views
Juzi Kati wakati natembelea maskani ya Twitter nikakutana na mkenya mmoja anazungumzia kisa chake kimoja na demu wake. Anasema yeye kwakawaida huwa soo nice Kwa manzi wake kiasi kwamba kila kitu...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Hello, Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla. Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi. Kuna wimbi...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Heshima mbele Wana jamvi. Hope wote mpo salama kabisa.Moja Kwa Moja niende kwenye mada, Kwa kifupi ni kwamba mwaka Jana mwezi wa pili nlikutana na mdada mmoja hivi ambae single mama wa mtoto...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Kweli sijui nyie ila kunawatu wanajali familia zao .sijamaanisha watoto na mke na maanisha baba na mama maana. Huwezi penda mzazi mmoja , . Kila siku naandika Hivi mama anazaa Kwa uchungu analea...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Wajameni tusaidiane Huwa nawaza sipati jibu, kwanini ni rahisi kwa wanawake/wasichana kukaa bila nguo hata moja wakiwa pamoja vyumbani au mabwenini ila ni ngumu kwa wanaume/ vijana wa kiume kukaa...
8 Reactions
84 Replies
18K Views
Alioa 2021 nilikuwa mwenyekiti wa kamati kwenye harusi yao lakini pia nilishiriki kupeleka posa kama mshenga. Mtoto ni mzuri sana kwao ni Singida japo born town wa jiji la dar Es salaam, singida...
13 Reactions
153 Replies
11K Views
Nahisi mapenzi yameanza kunichosha sasa. Nimeanza ku-block namba za wapenzi wasiojua kuandika sms. Hivi mnawezaje ku-date na mwanamke ambaye hajui kutofautisha matumizi ya "r" na "l" katika...
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Back
Top Bottom