Kijana usitafute hela kwa ajili ya mwanamke

Habari.

Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia.

Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability.

Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako binafsi.
Masikini vijana wa leo nawaonea huruma maana hata masikini anawafokea tu bila kujari
 
Habari.

Kijana wa kitanzania tafuta hela kwa ajili ya kujikwamua maisha yako binafsi na familia.

Achana na drama za kutafuta hela ya ajili ya mwanamke ambaye unachofanya ni probability.

Tafuta hela kwa ajili ya maisha yako binafsi.
Nzuri.
Umeisema vizuri.
 
Back
Top Bottom