2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 519
- 1,553
Hello jf member habari.
Kwanza niwashukuru sana kwa watu wote mliweza kunikaribisha mimi mgeni hapa.
Japo napokea matusi mara wewe sijui shemale ,wengine wanataka kujua jinsia yangu, mara ooh unatafuta maarufu humu.
Kiukweli mimi hata sijali, 2023 siYo ya kunioangia maisha maana hata hauwezi jua nakula nini saa hivi.
Turudi kwa mada "Tuambie kioja kimoja ulichokutana nacho kwa mahusiano ya mbali."
Nakaribisha maoni, kipo cha kujifunza.