Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikwenda kuchumbia mahali fulani...majibu yakatoka nikaambiwa nipeleke milioni mbili..,nimejitafakari aisee ni hapana sijajua wazazi wa Binti watanifikiria vipi ...ila watanisamehe tu. Kwanza...
37 Reactions
144 Replies
8K Views
Mimi nawaza humu sijui nani anawaambia eti wanawake wa JF ni wana sura ya kutisha? Niambieni. Wanaume wa humu mliojificha kwenye avatar mie tokea niwafahamu watu wa humu wanaume wa JF wanasura...
18 Reactions
240 Replies
9K Views
Nina mpenzi wangu tunaishi yapata miaka 2, sasa nilikua nimetoka kikazi kurudi tukafanya tendo la ndoa kama kawaida. Haijapita wiki nikawa naumwa, nilipoenda kupima ikagundulika ni...
13 Reactions
60 Replies
3K Views
Peace, Wakuu ningependa kujuzwa kwa misingi ya dini zetu Uislamu na Ukristu, je mahali iliyolipwa nusu humaliziwa kulipwa kwa utaratibu upi kimaadili ya dini zetu ?! Kwa majibu yatakayotolewa...
1 Reactions
2 Replies
505 Views
Unatoa namba unatongozwa halafu unakataa Kwani wewe unazani uliombwa namba ya Nini? Ooh Mimi nilikupa ili tuwe marafiki ...hakuna urafiki baina ya mwanamke na mwanaume labda urafiki wa facebook
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuna uzi uliwahi kuletwa humu jukwaani ukiwa na jina la 'No fap challenge'. Kwa haraka haraka ulikuwa unaonekana kwamba ni uzi wa kipumbavu na wakujifurahisha. Ambao hawakubahatika kusoma uzi...
36 Reactions
104 Replies
13K Views
Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Naomba kujua hawa wanawake wanaojibu wanaume ""OK" au ""SAWA" na hata uwaongeleshe na kuwapigisha story hawacheck wala kuchangia zaidi ya "ok" au "sawa" . Au unapo mtongoza...
3 Reactions
9 Replies
691 Views
Mwaka 2014 baba yangu na mama yangu waliachana tena kwa talaka baba akaenda kuoa mwanamke mwingine uko Mama tukabaki naye nyumbani akabaki analea watoto wake kwenye familia yetu tuko watoto 8 wa...
14 Reactions
109 Replies
6K Views
Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni...
6 Reactions
398 Replies
35K Views
Wakuu, Nisiwachoshe Msinichose, niende Moja Kwa Moja kwenye Point. Ule Ufala wa Kila unachowaza kufanya unafikiria watu wa Nyumbani kwako Kwanza achana nao Mara moja. Infact, Nyumbani kwako no...
1 Reactions
9 Replies
695 Views
Hello. Mtoto wa kike badilika. Kitendo cha kulazimisha mimba na kutarajia ndoa ,imeleta shida sana na kupelekea ongezeko kubwa la single mama. Kutarajia kupata mimba kwa kigezo cha ndoa sio...
1 Reactions
3 Replies
707 Views
Ni kitu gani unatamani ujaribu kufanya ukiwa unasex lakini unaogopa?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Hello. Watoto wa kike punguzeni tamaa ya hela. Hela tuliyopanga kununua kiwanja kweli unataka kununua iPhone macho matatum? Tunajua hela hakuna ila hadi vocha ya buku ya kuomba jamani? Dhiki...
19 Reactions
136 Replies
7K Views
Ilikuaje ukapata hasara kubwa katika maisha yako,kwa sababu ya kitu kinachoitwa myanduano "Mapenzi".
0 Reactions
6 Replies
532 Views
Huyu dogo Diamond Platnumz ana nyota ya mtumba mapenzi. Kila demu anayezaa nae anakuwa tayari ana watoto au mtoto kabla, hajawahi kuwa na mtoto kifungua mimba. Bujibuji nina watoto tisa, kila...
25 Reactions
78 Replies
7K Views
Narudia tena mwanamke hata kama unampenda vipi lakini kama hana ule uelewa wa Kuna kupata na kukosa atakutesa katika maisha yako . Kwa maana ukikosa atakusimanga na kukusema mpka Dunia utaiona...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari za wakati huu waungwana. Naombeni uzoefu wenu kuhusu wanawake wa Mombasa! Wanatabia zipi kwenye mahusiano? Ni miezi 3 tatu sasa tupo katika dating, by the way hatujakutana kulana. Amesafiri...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom