Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hamjambo wanangu? Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini? Anyways...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Ipo tafiti inasema mwanaume hutumia wastani wa masaa 7 kila mwaka kujificha chooni ili apate "Amani, Utulivu na Ukimya" Tunapitia mengi sana badala ya kuendeleza hii kampeni mliyoificha kwenye...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Nimeshapatikana mieee na tarehe 14 ndo hiyoooo... sawa ndo nimefall lakini baada ya kuorder zawadi ya Mr...design kama vile ni gharama.... no regrets, nina tafakari...
2 Reactions
3 Replies
892 Views
Zamani nilikuwa nina matatizo ya kupata hawa wenzetu (wanawake) baadhi ya wanawake walikuwa wananitupilia nje saana kila nikijaribu kurusha vitu vyangu. Nilibadirisha gia sasa hivi ninakwenda na...
8 Reactions
9 Replies
903 Views
Ni siku nyingine nisikuchoshe tusichoshane.Nilikuwa namsindikiza mdogo wangu wa kike hospitali baada ya kurudishwa kutoka Shule kutokana na sababu za kiafya. Siku ya Jana baada ya kutoka...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau.. Katika story na maneno ya wanaume wengi why hawaoi wasichana zao.. wengi wanajibu bado namchunguza maana haaminiki... Unakuta mtu yupo na binti hata 5 year mahusiano na...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
Ushawahi kusoma kisa changu cha mrembo Joyce? Sasa leo yananikuta sababu ya huruma yangu. Joyce bana niliendeleza uhusiano nae, amenieleza shida zake nyingi na kujutia aliyowahi kuyafanya na...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Je, umewahi kudate na sugar mummy au sugar daddy? Kama ni ndio nipe experience yako....
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Wanawake wanaotokea kwenye familia za kishua wanakuwaga na mapenzi ya dhati Sana ukiwacompare na wenzao wanaotoka kwenye familia ambazo hazipo vizuri kiuchumi. Yaani mwanamke wa ushuani akiamua...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Hamisa Mobeto.. mwanamke mrembo, asiyechosha machoni, asiyekinaisha moyoni.. Wataalamu wamekosa kipimo sahihi cha umri wake, kwa pamoja wamejiridhisha kuwa huyu mdada amegoma kuzeeka. Ni mama wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukisema Mikakati ni pamoja na kukubari kuwa 50/50 ipo na inafanya kazi na wahanga wa hii mambo ni wanaume wapambanaji. Tabasamu lake la leo ndio machungu yake ya kesho. Hayo meno yanayokusisimua...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Wanajamvi habari za majukumu, Napenda niongelee kitu govi! Hii kitu bwana ipo sana maeneo mengi kwa Tz, japo kuna makabila hawana hii kitu. Si kwa sababu hawazaliwi nayo, hapana! Wanataratibu...
6 Reactions
231 Replies
49K Views
Kisa hiki ni cha kweli kabisa na kimetokea hapa Tanzania. Mtu Asiyejulikana alimuoa binti ya watu, akakaa nae kwa miezi michache sana, akamucha kwa kejeli akaenda kuoa binti mwingine. Huyu...
23 Reactions
105 Replies
17K Views
Urafiki na ukaribu wa wanandoa hauanzii kitandani - ukaribu huanza na ulimi wako na hutoka moyoni mwako. Mpongeze mpenzi wako kila siku. Onyesha upendo kwa wingi. Mchombezee maneno matamu kila...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Nimekua JF kitambo lakini jukwaa langu pendwa ni kule Siasa, ila masiku ya karibuni nikaanza kuingia humu na kwakweli nimejikuta nnapapenda kutokana na story za kuvunja mbavu zilizopo. Kuna huu...
5 Reactions
12 Replies
6K Views
Wanaumeee, léo ngoja tuzungumze hapa kuhusu mjadala huu unaotrend sku mbili hz hapa JF, lakin ni mjadala mkubwa si tu hapa JF bali ni dúnian kwa ujumla Suala la talaka limejadiliwa mnoo, kila mtu...
2 Reactions
4 Replies
638 Views
Sababu hizi sio kwa ajili ya kuwalaumu wanawake bali ni kwa ajili yako mwanaume, sababu wewe ndo kiongozi na ni jukumu lako kutambua hali na kuchukua hatua. Vingine vinaumiza lakini ndivyo ilivyo...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Huwa napataga ukakasi sana kuandika about my love life. Na hii inatokana na ukweli kwamba, kwenye mahusiano furaha uwaga tunaiforce sana, nguvu inayotumika ni kubwa ili kuhakikisha tunamaintain...
29 Reactions
155 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…