Vijana kaeni kimikakati, dunia imebadilika

Vijana kaeni kimikakati, dunia imebadilika

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Tukisema Mikakati ni pamoja na kukubari kuwa 50/50 ipo na inafanya kazi na wahanga wa hii mambo ni wanaume wapambanaji.

Tabasamu lake la leo ndio machungu yake ya kesho. Hayo meno yanayokusisimua akitabasamu na kutamani kumpiga denda kesho huo mdomo utaona unafanana na wa mamba au simba na ulimi wake utaona ni nyoka. Never get fooled.

Hawa ndugu zetu wamekua wamoja hata kwenye uongo ili kufanikisha mambo yao hata kupindisha sheria. Kwa umoja wao hata ukija kuja kujitetea vipi utaonekana boya tu na kichaa hakuna atakaye kusikiliza pale jasho lako linapochukuliwa na huyo unaemuita mke wako ili akalifaidi na ampendae.

Vijana tukiwaambia mkae kimikakati tunamaanisha sio kwa ajili yetu ni kwa ajili yenu wenyewe wala usione kama labda tunashida na hicho kidemu chako tukupole wala. Hatuna muda nacho cos tuna videmu vikali zaidi ya hivyo.

Vijana tuamke hii dunia sio rafiki kwetu tena, sio kama ile walio ishi baba zetu na babu zetu kwani ya sasa ukikaa kizembe na huyo honey wako dk za mwisho utalia na hakuna ambae atakua upande wako.

Ila kwa sababu vijana wengi ni malimbukeni, wajuaji na huku hamjui chochote mtakuja kunitukana ila naawaambia tu kuwa mtanielewa mkiwa mmechelewa sana.

Hizo hela mnasisitizwa na wanawake mzitafute mkizipata wanawasubiria pale mbele muwaoe ili mzigawane pasu kwa pasu. Muulize Mwaka atakuhadisia.

NB: Neno langu sio sheria, ila majuto yako ndio itakuja kuwa sheria yako.
 
Kuna kajamaaa kangu kamesota sana mtaani baada ya kumalza chuo kama miaka 5. Cha ajabu kapata kazi Tanga ametangaza ndoa aseee nmeshangaa sana Africa umaskini hautakwisha akiwa hana kazi hakuwa na dem hata mmoja leo kapata kaz hata hajajipanga hana investment amepata kidemu. So SAD.
 
Kuna kajamaaa kangu kamesota sana mtaani baada ya kumalza chuo kama miaka 5 .....cha ajabu kapata kazi Tanga ametangaza ndoa aseee nmeshangaa sana Africa umaskini hautakwisha akiwa hana kazi hakuwa na dem hata mmoja leo kapata kaz hata hajajipanga hana investment amepata kidemu.....so SAD...
huyo kwisha habari yaaakeee
 
Nataka nikukumbushe kitu hiki,
Ukimuoa mwanamke na akakukuta na Mali, mkiachana hizo Mali zitaendelea kuwa za kwako. Ila mkianza kuishi pamoja katika ground state, yaani wote mlianza Moja, aisee nusu kwa nusu inakuhusu.
Fanya ukarabati wa hiyo nyumba huyo mkeo akiwemo alafu uje uandike tena hivi
 
Nataka nikukumbushe kitu hiki,
Ukimuoa mwanamke na akakukuta na Mali, mkiachana hizo Mali zitaendelea kuwa za kwako. Ila mkianza kuishi pamoja katika ground state, yaani wote mlianza Moja, aisee nusu kwa nusu inakuhusu.
Katika kitu ambacho mimi sishauri ni kuanza maisha na mwanamke ukiwa hauna chochote labda awe amekupenda na ni pisi kweli kweli. Ila usikubali kujiruhusu kubembeleza mwanamke aishi au aanze maisha na wewe ukiwa hauna financial feet hata kidogo.

Madhara yake huja baadae maana hawa wanawake tunaowaita wa kuvumilia shida na raha huwa wanakuja kuwa kisirani sana baadae na kuona bila yeye usingefika hapo ulipo na kimoyo moyo anakuwa hakukubali yaani ile kukuona mwanaume maana anaamini bila yeye usingeweza.

Watoto wakiume tujifunze kukaza sura kutokuwa wazembe kiasi kwamba unapopambana kidogo ukawa na uhakika wa 10,000 kwa siku basi unajiona wewe ushatoboa bado sana.

Save, invest, save more, invest more, save most, invest most. Hii ndio kanuni muafaka. Bana matumizi yako wewe kama wewe na kuelekeza kile unachopata kwenye future yako.

Nyumba nzuri ya kisasa, account yenye hela nyingi, mfanyakazi wa usafi ndani na garden boy, gari kali mbili au tatu tena za maana. Unakula vizuri,unakwenda gym, unafanya check up za afya kulinda afya yako, unatoka out sehemu za maana. Unakula watoto wazuri every weekend with no attachments baada ya hapo sijui mambo ya kuombana kodi hakuna atakula alikopeleka mboga.

Life bila stress za wanawake kusumbuana vichwa hadi ushindwe kuenjoy nyumba yako uliyojenga kwa bidii, ushindwe kutumia TV yako ya bei kutazama movies na shows, kutumia kitanda chako kwa raha na kuenjoy privacy ya chumba chako cha kisasa.

Tuepukane na hizi fikra za kishamba za kurithi, nani anataka kuambiwa "ukifa watoto wataishi vipi" mtu anakuwazia utakufa hata kabla yake sasa hapo kuna umuhimu gani si inawezakana hata huyu muhusika anakuombea ufe ili atimize ndoto na matarajio yake.
 
Kuna kajamaaa kangu kamesota sana mtaani baada ya kumalza chuo kama miaka 5 .....cha ajabu kapata kazi Tanga ametangaza ndoa aseee nmeshangaa sana Africa umaskini hautakwisha akiwa hana kazi hakuwa na dem hata mmoja leo kapata kaz hata hajajipanga hana investment amepata kidemu.....so SAD...
Daa sasa itakuaje
 
vijana ni wa kuwaonea huruma tu, unakuta kijana ikiwa hana hela yupo peke yake hakuna hata mmoja anaemkumbuka lakini akishika hata laki tu cha kwanza kukumbuka ni sketi, mtu kama huyo unamsaidiaje ndugu
Makofi
 
Back
Top Bottom