JIGOKU IKAYA
Member
- Apr 29, 2017
- 38
- 45
Wanajamvi habari za majukumu,
Napenda niongelee kitu govi!
Hii kitu bwana ipo sana maeneo mengi kwa Tz, japo kuna makabila hawana hii kitu. Si kwa sababu hawazaliwi nayo, hapana! Wanataratibu zao za kimila, kama jando.
Maeneo mengine hawsna hiyo jando wala jambo lolote kwa kijana wa kiume. Katika maisha yangu nimekulia kabila ambalo hawana tohara kwa kijana wa kiume.
Tohara ilikuwa inafanyika Hosp na ni kwa wale ambao wanaabudu utaratibu wa tohara tu. Wengine kama kawa ni govi tu.
Baadae serikali imeleta utaratibu wa huduma ya tohara kwa watu ambao hawakufanyiwa. Kila mtu/kijana kwa nafasi yake alienda kupata huduma hiyo. Vijana wengi wamepata tohara kwa sasa.
Tabu ipo kwangu, mana naogopa sindano na kisu sina mfano. Watu wangu wa karibu wengi wamefanyiwa isipokuwa mimi. Imefika muda nimezoea na kujiamini zaidi.
Katika pitapita zangu nimetembea na wasichana wengi tu, hakuna hata mmoja alieshtuka kuhusu govi langu. Mke wangu mpaka mwaka mzima hakujua kama ninalo. ikabidi nimwambie tu ili ajue, lakini hajakubali hata Siku moja.
Basi mi nafurahia maisha na govi langu. Yote hayo namshukuru Mungu kwa kuniumba bila govi refu ndo mana huwezi nitofautisha na wale waliopata tohara.
Kuna mdau anayo hii kitu na huwezi kumtambua?