Nimetajiwa ng'ombe 50 kwa ajili ya mahari tu, eeh nafwaa!

Phobia

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
1,151
1,783
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?

Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
 
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'mbe hamming mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?

Ama hakika wanyantuzu wasukuma mbona mnatukomoa?ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Huyo Mwanamke ana TV ndani ya mavazi?
 
Sio lazima upeleke ng'ombe. Peleka hela watanunua hizo ng'ombe wenyewe.
We Mwanamke, Unaijua gharama ya Ng'ombe 50?

La kumshauri Kijana, ni aache kutafuta visingizio ili akimbie NDOA, Mahari sio lazima apeleke yote. Apeleke anayoweza kulipia hata ng'ombe Wawili tu then wengine atamalizia baadae.

Mwanaume hupaswi kulalamika kuhusu Mahari, Ukienda na iliyo kwenye uwezo wako na Wakwe wasipokubali, ACHANA na Binti yao. endelea na mambo mengine.
 
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?

Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Kama unampenda sana huyo manzi mtundike mimba chap, afu utasikilizwa wewe unavyotaka😁
 
Ukiona umepangiwa ng'ombe wengi namna hiyo kuna mambo kadhaa.

1. Pengine hiyo familia hawakutaki. Njia hii hutumiwa baada ya familia kuongea na msichana na kuona kuwa hakukubali sana basi wanakupangia bei kubwa ili ukate tamaa mwenyewe. Na huwa hawataki pesa. Watataka ukalete ng'ombe au nusu pesa nusu ng'ombe.

2. Binti ni mweupe, mrefu na amesoma. Hapa tegemea ng'ombe kibao kama hao ulioambiwa.

3. Muhimu sana: Ulizia exchange rate ya ng'ombe kwenda kwenye pesa. Unaweza ukakuta unapangiwa kila ng'ombe ni 20K tu. Kwa hivyo kwa ng'ombe wote 50 kwenye pesa utatoa milioni moja tu which is reasonable. Kiwango cha juu pengine itakuwa 50K kwa kila ng'ombe. Kwa hiyo ng'ombe wote 50 itakuwa 2.5 milioni which is still reasonable.

Tafuta wajomba wenye negotiation skills nzuri wakakufanyie hiyo kazi. Kama binti anakukubali mtaishia kwenye 30K kwa kila ng'ombe (1.8 million).

Au kama vipi nilipe mimi nikakufanyie hiyo kazi. Nitawalazimisha kila ng'ombe 10K na total ya mahari iwe laki tano.

Njoo inbox tufanye biashara. Nitakuchaji laki mbili tu
 
Tufanye ng'ombe mmoja ni 250k jiandae ka M 12.5.

Sema usitishike sana wahamishie hizo ng'ombe kwenye mfumo wa pesa wambie utamnunua mmoja kwa 25k jumla kama 1.25 million.
 
Nipe namba ya huyo mkweo nikulipie hao ng'ombe hamsini.
Anataka ng'ombe dume au jike?
Acha kujiliza mtoto wa kiume kaza mattyakko unataka upewe mke bure?
 
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?

Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Hao hawakutaki jiongeze wewe, mademu pisi Kali wapo wengi hawana pa kwenda unataka ukakamatishwe mbuzi kwenye gunia.
 
Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu?

Ama hakika Wanyantuzu Wasukuma mbona mnatukomoa? Ng'ombe hamsini na mimi wapi na wapi? 😢
Tumia shortcut

Tia mimba then watakufata wao umuoe binti yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom