Uzoefu wako

Uzoefu wako

Silivian

Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
90
Reaction score
218
Je, umewahi kudate na sugar mummy au sugar daddy?

Kama ni ndio nipe experience yako....
 
Acha nikukumbushe, kijana Kuna mambo mengi ya msingi ambayo yanafaa kujadiliwa.

Tamaa,ujinga na upuuzi ndivyo vinavyotufelisha, maana ungeleta hata mada ya jinsi ya kulima nyanya??

Kwa umri ulionao ilipaswa ufikirie ni kwa jinsi gani utaendelea kupiga hatua, lakini naona baada ya kupata access jf. Unakuja na utumbo huu?

Tambua umri na muda vinakwenda kasi na havitawahi kumsubiri mtu, amua Sasa kabla hujachelewa.
 
vijana wameona uzinzi ndio kila kitu, wanasahau kwamba unaangamiza nafsi na roho
 
Huu uzi ungeupeleka kwenye jukwa la mapenzi na mahusiano

Ova
 
Tz kuja kuendelea ni mpaka hiki kizazi cha wapumbavu kiishe na elimu iwe ya ukweli kuwe na wasomi haswa wa ukweli pia.Na pia haya maduanzi ya kuwaza ngono kila saa nayo yapungue .
 
nili date na mmoja, 2015
alikua msafi sana, na yuko vizuri sana kwa foreplay

alikuwa anakuja Buguruni, mpaka room, tongue kissing/caressing ya maana (kama wazungu vile), tuna sex namwaga, anaondoka kurudi Tegeta
nilisahau kitu kinachoitwa mizinga
Ulienjoi sana aisee mahaba ya jimama la Tegeta 🤣🤣🤣
 
Acha nikukumbushe, kijana Kuna mambo mengi ya msingi ambayo yanafaa kujadiliwa.

Tamaa,ujinga na upuuzi ndivyo vinavyotufelisha, maana ungeleta hata mada ya jinsi ya kulima nyanya??

Kwa umri ulionao ilipaswa ufikirie ni kwa jinsi gani utaendelea kupiga hatua, lakini naona baada ya kupata access jf. Unakuja na utumbo huu?

Tambua umri na muda vinakwenda kasi na havitawahi kumsubiri mtu, amua Sasa kabla hujachelewa.
[emoji23][emoji23] Kwahio una m determine mtu kwa social media sio??

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Tz kuja kuendelea ni mpaka hiki kizazi cha wapumbavu kiishe na elimu iwe ya ukweli kuwe na wasomi haswa wa ukweli pia.Na pia haya maduanzi ya kuwaza ngono kila saa nayo yapungue .
Pia na wewe unawaza ngono pia, mbona humu ndani content zipo nyingi sana why uje kwenye love content

Back
Top Bottom