kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Zamani nilikuwa nina matatizo ya kupata hawa wenzetu (wanawake) baadhi ya wanawake walikuwa wananitupilia nje saana kila nikijaribu kurusha vitu vyangu.
Nilibadirisha gia sasa hivi ninakwenda na gia ya kuoa kila mwanamke ninaye mtongoza na mwambia nataka kumuoa na kizuri wakisikia neno ndoa tu wanakuwa serious kidogo na wewe.
Na ninaongeza ubunifu mwingine wa kujifanya kuongeya na simu mambo ya dili nikiwa na demu ili aone mimi mpambanaji kumbe tapeli tu.