Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za leo wanajukwaa. Ki ukweli mimi sio mwandishi mzuri kama Mzee Deepond na wengine lakn natumai ujumbe utaeleweka. Binafsi tulizaliwa wawili tu kwenye tumbo la mama yangu. Baba yangu mzazi...
4 Reactions
8 Replies
869 Views
Habari wakuu Jana nilitumiwa pesa kiasi cha sh 330000 na mzee wangu kwa namba ya tigo, sasa nilijaribu mara kadhaa kuituma kwa namba yangu ya MTN Uganda ila ilikataa na kusema muamala umesitishwa...
1 Reactions
13 Replies
771 Views
Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana. Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia...
18 Reactions
147 Replies
9K Views
Muafaka Wanahitaji ndoa Muoe au muendelee na kuishi na wake zenu. Tusiohitaji ndoa,mtuache Tubaki na Maisha tuliyochagua. Nyuzi za kutushawishi kuingia kwa moto wenu wa ndoa jf zimekuwa...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
~ Uwe mtu mzima zaidi ya miaka 40 hadi 45. ~ Uwe tayari kwa familia. ~ Usiwe mlokole au msabato. ~ Uwe na kipato yaani uwe unajishughulisha. ~ Usiwe ushawai kuoa/kuolewa / ushawai kufunga ndoa...
7 Reactions
103 Replies
7K Views
Kuna sababu nyingi ambazo husababisha wanandoa kuvurugana, Ila uchoyo ubahiri ubinafsi na mambo yanayofanana na hayo husababisha mivurugano. Kwa kawaida wanaume ni rahisi sana kutamani ngono...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu swalama Binafsi katika maisha yangu ya uchakataji wanawake zaidi ya Yutong 2 sijawahi kuchakata demu mnene iwe sana au wastani. Sasa hivi karibu nimepata pisi ila ni bonge wa wastani...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndoa ni hali ya mwanaume na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke na kutengeneza taasisi ndogo ambayo ni familia. Malezi ya familia ndiyo chanzo cha taasisi zingine na jamii au taifa kiujumla...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili...
6 Reactions
91 Replies
5K Views
Wanawake sasa wanaona kuhongwa ni haki yao. Kupewa pesa imekuwa ni lazima, usipowapa pesa wanakuacha na kukupa majina yote mabaya. Yaani naanzaje kukupa wewe pesa kisa tu mbususu? Kila mtu...
9 Reactions
76 Replies
4K Views
Leo nilihudhuria leaders pale. Nilichojifunza, watu wanapenda sana hizi marathon [emoji125]. Lakini pia ukiwa muhudhuriaji wa hizi mbio aisee suala la kuowa litakuwa mtambuka. Kuna wanawake wazuri...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari. Kwani vipi mbona kulazimishana sana kuoana kwani Tumewaambia Hatutaki. Mshana Jr uzi wako ule ni mzuri sana ila bado haujaelewa wakataa ndoa wana maanisha nini? Tafuta muda pitia hoja...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda. Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau kuna kitu wanawake huwa wanakosea sana, unakuta kuna mchizi anampenda kinoma na mchizi anatia mavoko kabisa sometimes na kutuma hata watu wa karibu kwa demu wamueleze lakini unakuta demu...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Salaam JF Maisha ni raha sana kwenye mapenzi kuna watu wanakuja ili kuwa na wewe, na pia kuna watu wanakuja ili wawe na wewe maisha mwako na kuyajenga maisha na wewe. Na kuna wenye vybez...
1 Reactions
1 Replies
447 Views
Ukiona umekataliwa na mwanamke/mwanaume usihuzunike wala kukata tamaa, Maana hujakataliwa wewe (as a person) bali imekataliwa ofa yako uliyo toa.......,
8 Reactions
20 Replies
1K Views
wanajamvi pole na majukumu kwenye mada tafadhari wakati wa mizunguko yangu ya hapa na pale nimekutana na mzee age kama 88 anaonekana kuchoka sana katika maelezo ametembea km 15 mavazi yake...
0 Reactions
9 Replies
456 Views
Unaweza kuwa mzuri na mwenye fadhili na bado ukasema HAPANA kwa watu. Neno HAPANA ni sentensi kamili inayojieleza. Hauhitaji ueleze kwanini hautalala na mtu asiye mume ama mke wako. Sio lazima...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia...
1 Reactions
17 Replies
592 Views
Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu...
5 Reactions
19 Replies
744 Views
Back
Top Bottom