HUJUMA KWA WANAUME KUPITIA TALAKA

HUJUMA KWA WANAUME KUPITIA TALAKA

Vibranium

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
236
Reaction score
515
Wanaumeee, léo ngoja tuzungumze hapa kuhusu mjadala huu unaotrend sku mbili hz hapa JF, lakin ni mjadala mkubwa si tu hapa JF bali ni dúnian kwa ujumla

Suala la talaka limejadiliwa mnoo, kila mtu àkijaribu kuélezea kwa anavyofaham na hekima zak. huku dunia ya tatu, tunapitia kipindi hiki ambacho wenzétu walioendelea walishapita na wamekumbwa na madhila haya ambayo yaliwaumiza, mpaka pàle walipotafuta namna ya kujilinda

Ukienda kuzungumza na wanaume wa ulaya na marekan kuhusu Talaka baadhi yao wanawéza kulia kwa kukumbuka machungu yaliyotokana na talaka

Kuna kesi nyingi, za ma-celebrities kuhusu ndoa, na kesi hizo hutokea tu punde baada ya wanaume kuwa vizur kiuchumi, wanawake hubadilika na kudai talaka na kupelekéa kugawana mali,

Kule America kuna wanawake huitwa Social climbers ambao ni wakawaida hamna anaowajua, huolewa na watu maarufu wenye vpato, vya biashara au sanaa, na mara nyingi hao social climbers, hulenga mali au umaarufu, kwenye mali ndio hapo baada ya muda kesi za talaka kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu, kesi ikifika mahakaman mwanaume anakuwa kaisha

Wanaume wa kizungu walikaa na kujadili ni namna gan wanatoka katikà upigaji huu wa miaka nenda rudi, mpaka walipokuja na suluhu zà kujilinda mfano kuingia makubaliano ya kisheria na wanawake kabla ya ndoa (pre-nuptial agreements) makubaliano ambayo hulinda mali za wanaume dhid ya hujuma hizi za hao Social Climbers

Hilo limewasaidia sana wanaume huko Marekan, na matajir weng wakubwa wamefanya hizo Pre-nuptial agreéments ili kujilinda, ndio maana Bill gates kampa talaka mkewe lakin hukuona kesi za kugawana mali

Tanzania na Africa kwa ujumla, we are far behind western, ila tutafika kwa hali inavyoenda kasi namna hii [emoji16]. Mara nyingi wazungu ndio huanza na sisi hufuata, mimi naona itafika point wanaume wa nchi kama Tanzania watakuja kuinuka na kupanga namna ya kujilinda kama wenzetu wazungu

Maana hizi ndoa kuna zile za upendo wa dhati, na kuna zile za watu kutafuta nàmna ya kufanya uporaji
 
Ni kweli Ila itachukua muda kidogo bado Tanzania Kuna dhana ya kumbeba mtoto wa kike zaidi ya wa kiume,baada ya miaka 20 kupita hii kitu utakuja kuzingatiwa I guess so....
 
Kwani kuna nini kimetokea huko kwenye ndoa? Mbona mambo yamekua moto namna hii?
 
Back
Top Bottom