Salaam jamiiforums
Kila mmoja amechagua maisha fulani ya kuishi ili mradi havunji sheria, lakini juu ya yote, unaweza kuwa unashusha uanaume wako bila kujijua. Leo tukumbushane taratibu kadhaa...
Ndiyo nguvu za kiume nowdays ni shida nyingine kwa sisi wanaume.
Kwa Bao la kwanza mwanamke unaye sex naye during sex epuka kumtazama sana sex parts yenye mvuto kama hips au kalio lake pia kama...
Haya ni mawazo yangu.
Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa...
Wakuu salaam.
Hebu tujadili hii kauli ya "tuishi nao kwa akili" ilivyokaa.
Mtu kama kafuga na kuishi na nyoka au hata mnyama mkali kama chui, simba nk ukimuuliza ni kwa namna gani ameweza...
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa
Imeniuma sana kushiriki...
Wanawake wanafikia mipaka unayowawekea wewe kama mwanaume. Anapogundua anaweza kukufanyia kitu chochote cha kukushusha hadhi yako na uanaume wako na mipaka yako bila wewe kumfanya chochote basi...
Ni mwaka wa tatu Sasa Tangu nianze kuwaza kuoa. Kila Mahusiano ninayojiingiza huvunjika baada ya muda mfupi, si zaidi ya miezi 6.
Jumla ya wanawake nilioingia nao kwenye Mahusiano Ni Watano.
Wa...
Waungwana natumaini mko salama.
Basi bwana week end hii nikasema ngoja niibukie porini kidogo nikacheki watu wanaishije ishije huko pamoja na mishe nyingine nyingine.
Shida ilianza baada ya...
Wakuu,
Aliyekuumiza mtafutie mwenzie ili akimuona aumie mara mbili yake. Ukinichiti nakuchiti, ukiniacha nakuacha ya nini kuumizana.
Yaani hivyoo.
Updates
Wakati napost huu ujinga wangu wala...
Umemshawishi ukachukua namba ya mwanamke mzuri umtakaye.
Akilini mwako ushapanga kumtoa out. Jinsi utakavyomfikisha kileleni na ufundi wako wa kitandani. Kadri siku zinavyozidi kwenda ndo unazidi...
Mara nyingi mke wangu ananinyima mapenzi yaweza hata kufika mwezi sijafanya ananinyima kwakuwa nimezidiwa huwa simfosi naamka napiga punyeto mbele yake kisha na nalala je sahihi au nifanyeje...
Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo
Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo...
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani...
Natamani saana kuishi maisha kama ya Diamond kwenye mausiano. Katika dunia hii kama kuna watu ambao wanaogopa ndoa nafikiri mimi number one!
Naogopa kuoa saana, sio kwamba sijawahi kuoa hapana...
Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu...
Wanawake ni kama kenge, hasikii mpaka atokwe damu za masikioni. Tumeshasema sana ukialikwa dina njoo kama ulivyoalikwa. Mambo ya kuleta timu sio hekima. Kila siku tunasema.
Leo nimemualika dogo...
Habari wa jukwaa,
Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje?
Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa...
Ni miaka 13 namba yangu simu natumia sijawai kubadilisha. Nipo kazini inaingia namba ambayo ngeni kwangu, kupokea ni ex wangu yapata miaka 8 iliyopita. Kumuuliza umepataje namba yangu?. Alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.