Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Wanawake wanafikia mipaka unayowawekea wewe kama mwanaume. Anapogundua anaweza kukufanyia kitu chochote cha kukushusha hadhi yako na uanaume wako na mipaka yako bila wewe kumfanya chochote basi gundua hali hii itaendelea hivyo hivyo milele na milele amina.
Usitegemee atakuja kubadilika ikiwa utendelea kumchekea vituko vyake na madharau anayokufanyia kama hujachukua hatua stahiki.
Pale ambapo wanaume wengi wanapojiona wanafanya vizuri kwa kukaa kimya au kushindwa kumshushia kipigo kitukufu wanapovunjiwa heshima na mwanamke na kujiona wao ni wanaume waelewa wasio na vurugu lakini kumbe ndio wanaharibu.
Unapomruhusu akufanyie kila aina ya takataka kukujibu anavyojiskia au kufanya anachokitaka na kushusha uanaume wako ujue upo katika hatari kubwa.
Wanawake kwa namna moja au nyingine watakufanyia vituko na dhihaka ili wajue uanaume wako upo level gani. Hutakiwi kufeli mtihani huu, shusha majibu ya maana (fanya lolote la kumtesa ili asirudie kosa) kwake akuheshimu na sio akuheshimu tu akuogope na sio akuogope tu akuogope sana na awe mnyenyekevu.
Ukiona mwanamke hakuheshimu ujue ni kwasababu ulimlegezea na kumpuuzia makosa yake mara ya kwanza badala ya kumchukulia hatua. Mwanamke ni kama mtoto tu haijalishi umri ukicheka na mtoto pale anapodokoa nyama unafikiri nini kitatokea baada ya Miaka miwili? Kama sio ataanza kukuibia pesa na mwisho akiwa mkubwa atakuja kuvunja nyumba yako wewe mzazi wake.
Niseme kitu kimoja tu wanawake wanaweza kuonekana wapole lakini siku ya kwanza unapokutana na Mwanamke kitu anachokifanya kwako ni kukupima. Atakapokufanyia jaribio lolote la kishenzi na kipuuzi kama kukujibu ovyo labda au kukutania utani mbaya au atakuomba umuokotee kitu au akutume kitu. Usiposimama kumkemea tarajia hali itaendelea hivyo hivyo milele na milele, amina.
Nina ndugu baadhi wanawake wananiheshimu sana baada ya kuchukua hatua stahiki nilipoona wanataka kunivunjia heshima. Chukua nafasi yako mwanaume tawala huyo mwanamke ameshanenewa kutawaliwa tangia bustani ya Edeni.
Heshimu ni muhimu sana, huwezi jitoa kwa ajili ya mtu mpaka kifo kiwatenganishe halafu akakuchukulia poa. Say NO. Rise up and take your manhood take your authority.