Iko hivi, Wiki na nusu iliyopita nililala na Mwanamke ambaye tulijuana ndani ya mwezi huu ulioisha (September) ila kabla sijalala nae alinieleza kwamba anatamani sana kupata mtoto lakini...
Amani iwe nanyi nyote wana JF,
Ama kweli katika maisha ni kufa kufaana, nikiwa nimetulia sehemu mitaa ya Dodoma Jiji, nakula kuku na kutuliza Koo kwa flying fish za moto, nikiwa na mtoto wa...
Mume akichepuka, mke samehe mgange yajayo.
But mume never usije kufanya kosa la kusamehe mkeo akichepuka.
Mwanaume anachepuka kwa sababu tofauti kabisa na zinazomfanya mwanamke achepuke
Mwanaume...
Habari wakuu kama mnakumbuka kisa changu cha shemeji yangu wabkike Dada wa mke wangu aliekuwa akipendelea mtoto kukaa kwangu ili yeye apate muda wa kwenda kazini kwake kutafuta riziki...
Sasa...
Wadau,
Ukoo upo kwenye vikao na maandalizi ya mwisho kabisa ya kumsafirisha baba yangu mkubwa kuja Dar kwa matibabu zaidi baada ya ugonjwa wake kushindikana katika hospital ya mkoa.
Ukoo...
Nipende kuwakaribisha wadau wote kwa maswali yangu haya mafupi yenye kuhitaji majawabu, maelezo na mifano halisia toka kwenu.
MASWALI:
1. Rafiki ni mtu gani au nini maana ya rafiki?
2. Kivipi...
Nilikuwa siwezi kutembea akaniladhimisha kukimbia, nilivuja damu nikapoteza mishipa yangu ya fahamu, alinionjesha radha ya mapenzi lakini akanilisha uongo,
nilimwambia kama hatutaenda peponi basi...
Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati,
Ewe mwanaume mwenzangu nakwambia ukiamka asubuhi baada tu ya kupiga mswaki hakikisha kabla ya kutia kitu chochote mdomoni unapata hii menyu...
Ni muhimu kujua mapema kama mwanamke anakutaka au la.
Utalijua hilo kutokana na tabia anazoonesha kuashiria amevutiwa na wewe au la. Kupata namba yake ni jambo la kawaida, lakini sio kiashiria...
Nina umri wa Mika 30, jinsia yangu nimvulana. Nina elimu ngazi ya diploma, naishi Dar, ni mweusi angavu.
NATAFUTA mpenzi mwenye vigezo; Awe na uelewa wa kujitambua, awe mtu wakujishughulisha...
For the next 6 months, become addicted to these habits, and you'll be unrecognisable by Summer 2023...
1. Work out 3x a week.
2. Meditate for 5-mins daily.
3. Eat 2 healthy meals per day.
4...
Wakuu habari za wikiendi,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, mzee wangu kwa sasa naishi naye nyumbani kwangu kutokana na umri wake na hana mtu wa kukaa naye. Hii tabia ya kuwatongoza wadada wa...
Msome mchumba wako vema kabla hamjafunga ndoa.
Kama unanyimwa unyumba ama pesa wakati wa uchumba kwasabb zozote zile, basi ukae ukijua kuwa utanyimwa hata kwenye ndoa kwasabb zinazofanana na...
Tena kwa mbwembwe nyingi nilikuwa nausokomezea ukuni bila huruma. Aliponiambia "mbona ukojoi?" nikamwambia nitampatia 15k badala ya 5k. Nimepiga bao moja na nusu! Tena hapo ni baada ya kusukumwa...
PROFILE LA MWANAMKE ANAYEHANGAIKIA NDOA!
Anaandika, Robert Heriel
Ndoa ni Taasisi inayowaunganisha Mwanaume na Mwanamke kuunda Familia moja(serikali moja), kuwa mwili mmoja.
Kisayansi Mwili wa...
Salaam!
Habari wana jf poleni na majukumu, mimi ni kijana ambae nimepanga kuoa mapema mwakani ila leo mchumba wangu kanitumia ujumbe unaonivuruga akili,
Kiukweli mimi na mchumba wangu...
Napata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea...
Wadau, habari zenu.
Ni mtumishi serikalini. Ofisini kwetu kuna mrembo mmoja (nikisema mrembo, ninamaanisha mrembo). Huyu dada kwa takribani miaka 4 tuliyohudumu nae hapa kazini, amekuwa akipa...
Wakuu nimejisoma nimegundua hii hali ya kuchaguchagua sana mwishowe unaweza usije mtu kuoa kabisa.,nimekuwa nikipitia mahusiano kadha wakadha ila bado sirizishwi na mienendo ya wenza wangu,sasa...
Hii ni nukuu ya mwanamke wa jf
"Mwanamke amempenda mwanaume akamuoa, anapata tena hisia na mtu mwingine? Atakuwa tu na tabia ya umalayer.....mi nlivoolewa hata majina ya maex nliyasahau hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.