Rafiki yangu katoka kutembea na mke wa mtu

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa

Imeniuma sana kushiriki dhambi kumpeleka shemu gheto ili akachakatwe kama nyama choma za mbuzi

Eti shemu, kumbe hata huyo mtoto ulie na picha zake kwenye simu yako sio wa mumeo!? Kwa hiyo ndo umerudi kwa mshikaji kutafuta mbegu mpate mtoto mwingine? Halafu mbele yangu bila aibu unaniambia kuwa unampenda sana rafiki yangu na eti huwezi kuwa na watoto kwa wakina baba tofauti

Mhurumie basi mumeo. Jinsi ambavyo ulivyokuwa unazungumza na mumeo kwenye simu nimeshangaa sana. Yaani una sauti tamu kama ya malaika, ila moyo wako ni wa kishetani. Hata hivyo mimi ni msiri, nimekuja kufungia code JF kwa kuwa inauma sana shemeji yangu

Ndo ushashelegwa hivyo, ushachomekwa jiti hivyo. Kwa maana nyingine ndo ushabanduliwa hivyo. Dah! Muda ule mnashelegana, mimi nilikuwa kwa Mangi dukani nikiwaza kama ingekuwa kwangu mimi

Nahisi umejiuliza ni kwanini afisa mipango nimeondoka bila kuaga. Nilimpigia simu mke wangu, akawa anazumgumza sauti ambayo wewe uliitumia kuzungumza na mumeo, imenibidi niwahi nyumbani kuhakiki kama yupo kweli. Nimewakagua wanangu phenotypes zao kama zinasharadadi na ya kwangu pasi na mke kujua ili nisije kuuzia mbuzi kwenye mabaro

Pesa ya mumeo umemuhonga rafiki yangu mbele yangu. Na bado umemng'ang'aniza akuchape nao. Sio kwamba nimewaonea wivu na kilio chako cha kinafki, la hasha, nimewaza tu ni kwanini mumeo akuhudumie kiasi hicho mpaka unanawili kama malaika, halafu shukhrani zako unamalizia kwa huyu mhuni mwenye wapenzi kibao kama nini, tena wengine wana maumbo mithili ya picha za njiti, wakina Asha Chupi Kubwa na Mashuga mummies

Eti Shemu, uliondoka au unalala kwa mjuba?

Ila kama ni uzuri wa macho, shemu umebarikiwa mashaallah

Ukiondoka, umpe salamu mumeo, tunampenda sana. Ila jitahidi umbebee hata ujauzito mmoja ili naye aache alama ya ushindi katika maisha haya

N.B Shemeji,
Kushelegwa nje ni haki yako, ila kwenye watoto umefeli pakubwa
 
Ata hatuji mkuu kataa ndoa ni kwa wote ni swala la muda tu
Na kweli mkuu, haya yote yatapita, maisha yataendelea kama kawaida. Kuoa ni kibali cha ishara ya heshima na ukomavu wa akili, wala hakina uhusiano wowote na nyuchi. Nyusi ipo kwa ajili ya kushelegwa. Maana halisi ya kuoa ni kuolea wanaume wanaokuzunguka
 
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa

Imeniuma sana kushiriki dhambi kumpeleka shemu gheto ili akachakatwe kama nyama choma za mbuzi

Eti shemu, kumbe hata huyo mtoto ulie na picha zake kwenye simu yako sio wa mumeo!? Kwa hiyo ndo umerudi kwa mshikaji kutafuta mbegu mpate mtoto mwingine? Halafu mbele yangu bila aibu unaniambia kuwa unampenda sana rafiki yangu na eti huwezi kuwa na watoto kwa wakina baba tofauti

Mhurumie basi mumeo. Jinsi ambavyo ulivyokuwa unazungumza na mumeo kwenye simu nimeshangaa sana. Yaani una sauti tamu kama ya malaika, ila moyo wako ni wa kishetani. Hata hivyo mimi ni msiri, nimekuja kufungia code JF kwa kuwa inauma sana shemeji yangu

Ndo ushashelegwa hivyo, ushachomekwa jiti hivyo. Kwa maana nyingine ndo ushabanduliwa hivyo. Dah! Muda ule mnashelegana, mimi nilikuwa kwa Mangi dukani nikiwaza kama ingekuwa kwangu mimi

Nahisi umejiuliza ni kwanini afisa mipango nimeondoka bila kuaga. Nilimpigia simu mke wangu, akawa anazumgumza sauti ambayo wewe uliitumia kuzungumza na mumeo, imenibidi niwahi nyumbani kuhakiki kama yupo kweli. Nimewakagua wanangu phenotypes zao kama zinasharadadi na ya kwangu pasi na mke kujua ili nisije kuuzia mbuzi kwenye mabaro

Pesa ya mumeo umemuhonga rafiki yangu mbele yangu. Na bado umemng'ang'aniza akuchape nao. Sio kwamba nimewaonea wivu na kilio chako cha kinafki, la hasha, nimewaza tu ni kwanini mumeo akuhudumie kiasi hicho mpaka unanawili kama malaika, halafu shukhrani zako unamalizia kwa huyu mhuni mwenye wapenzi kibao kama nini, tena wengine wana maumbo mithili ya picha za njiti, wakina Asha Chupi Kubwa na Mashuga mummies

Eti Shemu, uliondoka au unalala kwa mjuba?

Ila kama ni uzuri wa macho, shemu umebarikiwa mashaallah

Ukiondoka, umpe salamu mumeo, tunampenda sana. Ila jitahidi umbebee hata ujauzito mmoja ili naye aache alama ya ushindi katika maisha haya

N.B Shemeji,
Kushelegwa nje ni haki yako, ila kwenye watoto umefeli pakubwa
Samahani Shemela... Wewe ni wa kiume au wa kike?
 
Mimi ni wa kiume. Sina tabia ya umbea. Na wala sintomueleza mtu yoyote suala hili kwenye maisha ya uhalisia

Ila kinachoniuma ni huyo bwana anayetunza damu isiyo yake, na bado anaongezewa damu isiyo damu yake. Piga picha mkuu kama ungelikuwa ni wewe

Unaondoka duniani bila kuacha alama mkuu

Ushauri: Tuzaeni nje ya ndoa kwa nguvu zote
 
Basi kama wewe ni wa Kiume jitahidi ubadilike uishi kiume...

Kiumeni hatuko hivyo, ndio maana tuna makoromeo na ndevu
 
Na usiombe nikakutana na mkeo katika maisha haya ya ulimwengu. Nitamfanya kama rafiki yangu anavyomfanya mke wa huyo jamaa. Nitahakikisha namtweka mimba ya jembe halafu utanisaidia kulea mkuu
 
Bahati nzuri, amini nakuambia hakuna mke kati ya wake zangu anaweza kutoka na mwanaume wa aina yako.... Amini nakuapia....

Wewe na huyo shemeji yako sijaona tofauti yenu.... Wote ni walewale...

Nakushauri acha hiyo tabia... ushoga unaepukika.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom