kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Natamani saana kuishi maisha kama ya Diamond kwenye mausiano. Katika dunia hii kama kuna watu ambao wanaogopa ndoa nafikiri mimi number one!
Naogopa kuoa saana, sio kwamba sijawahi kuoa hapana. Niliwahi kuoa na kuwa kwenye mausiano na wanawake tofauti nilijikuta nina nyota ya kenge tu natunza wenzangu wanachukua.
Mapenzi mazuri saana ila usipo kuwa makini unaweza kujikuta kaburini. Hayana formula haya sijui fanya hivi fanya hivi ni bure. Mwenzenu nilipaka mpaka vumbi ya Kongo ili warizike lakini wapi! Nikijitahidi kutunza lakini wapi!
Kwasasa nimebaki na jibu moja tu moyoni, mwangu ni kupiga mimba na kutunza watoto wangu tu swala la kuoa tunasubiri tufike miaka 55 Mungu akitujalia.