Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari Jf Naomba ushauri kwa wajuzi wa mambo haya, ndoa yangu inamuda wa miaka minne na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Mimi na mke wangu wote ni wafanyakazi serikalin na kwa sasa tunajenga...
4 Reactions
140 Replies
11K Views
Mimi bado nikijana, nina miaka 25 elimu yangu ni darasa la saba ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi miaka 18/24, Awe na hofu ya mungu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasalaam JF, Mtengeneza njia ni mmoja kwa matumizi ya walio wengi. Mwanakulianza ni mwanamajumui wa kugawa upendo. Ulivyopewa wewe bila mbambamba hata bustani ya Eden nyoka aliwekwa kwa tafsiri...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Muasisi wa ndoa kwa binadamu ni Mungu. Alipowaunganisha Adam na Hawa katiba bustani ya edeni. Familia ni msingi wa Taifa lolote kwani kukiwa na familia imara ni rahisi kuwa na jamii imara,dini...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Hello mambo JF Crew!! Hatari sana, wanawake first born imetokea sipatani nao kabisa mahusiano hayadumu nawapata kirahisi mno ila naishia kunyandua tunaachana wananikorofisha ujeuri, kibri na...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Tarehe 30 mwezi wa 7 naoana na mwanaume ambae ni wa ndoto zangu. Kabla ya kukutana na huyu mwanaume wa ndoto zangu hapo nyuma nilikua na uhusiano na kaka mmoja asiejielewa. Wakati tunaachana...
8 Reactions
100 Replies
8K Views
100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Ibada ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Nichukue fursa hii kutoa Rai na kuomba mabaharia wote na kauli mbiu zetu tugutuke kuelekea kwenye crisis ya upatikanaji wa mbususu. Tuchukue...
3 Reactions
4 Replies
881 Views
Nilipoanza mahusiano naye tu, nilianza kuwa msumbufu kupita maelezo. Kuanzia day three nilianza kulilia mbususu kama vile ni yangu vile namdai. Ilifikia kipindi akaona dhamira yangu labda ni...
19 Reactions
82 Replies
9K Views
Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wakuu Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba...
26 Reactions
121 Replies
16K Views
Habari JF member, Nisiwe mwingi wa maandishi niingie moja kwa moja katika mada lengwa kwaajili ya kuwekana sawa au kujuzana baadhi ya mambo. Siku za karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana...
12 Reactions
84 Replies
4K Views
Mwaka 1985 Rais wa Uganda Milton Obote alikuwa amepinduliwa na akina somebofy Okelo Sasa huyu Obotealikuwa Rafiki wa Nyerere ,akakimbilia Tanzania kunusuru maisha yake. Haikuwa mara yake ya...
23 Reactions
89 Replies
8K Views
Kuridhishwa kwenye tendo la ndoa sio kufikia mshindo (kileleni) tu, bali inahusisha mchakato mzima wa kufika kileleni. Ni sawa na mtu aanze safari ya kutoka mwanza kwenda Dar, huku njiani akiwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kitu nilichojifunza japo sipo huko ni kwa waliokuwa na mahusiano au wapenzi wakiwa kwenye uchumba au sio uchumba. Wengi wao wameweka Bima ,nipige tafu na hisa.unajua kwa nini nimetaja hayo maneno...
3 Reactions
4 Replies
422 Views
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni ukweli unaosikitisha kuwa wanawake mnawaona wazuri wanapenda kutreatiwa kama takataka. Chukua fursa hiyo ukishamshapata mfanye kama takataka. Akiwa mzuri zaidi mtreat kama takataka zaidi na...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Ndugu zangu itabidi mnielekeze wapi napata Pafyum a.k.a Unyunyu wa kushantoo. Kilichonipata leo kimenibadili. Ila wakuu nipeni jina la pafyum nzuri kwa hela yangu isiyozidi 30K. Sina gari, hata...
34 Reactions
189 Replies
15K Views
Hii mada ya kataa ndoa inabidi ijibiwe kwa hoja na sio mihemko, vijana wetu wanaikataa ndoa wakiwa na mantiki kubwa sana, inaitaji umakini mkubwa sana kuwaelewa na kuweza kujibu hoja zao za...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom