Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu ndugu zangu, ningependa kusaidiwa jambo. Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko, mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa kuna huyo dada yaani all the...
6 Reactions
116 Replies
8K Views
Wasalaam JF ! Mie nachagua Mapenzi Nawasalimu kwa bashasha na nderemo nyingi kuelekea siku ya wenye kubarikiwa urithi wenye turufu au maarufu mbususu a.k.a the valley of joy and happiness...
0 Reactions
4 Replies
707 Views
Mimi binafsi nawaambia wanaume punguzeni dharau kwa wanawake, kuweni wanaume kamili, dharau hazijengi wala kukuletea sifa njema. Poleni na majukumu wanaume, Mungu awabariki mkinielewa au...
34 Reactions
330 Replies
9K Views
Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake. Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake. Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa. ~...
63 Reactions
140 Replies
15K Views
Salaam wakuu Mwaka 2020 nilihamia Dom kikazi. Leo naenda mwaka wa tatu Kuna aspects za kifamilia nazimiss sana. Familia yangu ilibaki mkoa X coz mwenza wangu pia ni mtumishi sector binafsi na...
21 Reactions
108 Replies
5K Views
Wakuu salaam, Wanaume tunaongoza, kuwaharibia maisha wanawake, tuliowapotezea mda mrefu kwa ahadi ya ndoa, kisha tunawatosa na kuoa wengine. Ajabu sisi tukitoswa, na waliotupotezea muda kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nini maana ya Mapenzi? Nini maaana ya Mahusiano? Kwanini tunaanzisha mahusiano? Kwanini kuna mahusiano ya kimapenzi?
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa...
21 Reactions
316 Replies
22K Views
Habari, Natafuta mrembo tuanze safari kuelekea uchumba na tuyajenge vizuri kuelekea ndoa. Sifa zangu; Umri 27 Kazi: Nimeajiriwa Mkoa: Arusha Elimu: Degree Dini: Roman Catholic Mwanamke...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGA KELELE. Kabla hatujatafuta mchawi wa mahusiano yetu, tunapaswa kujichunguza sisi wenyewe kwanza tupo sawa au tuna shida mahali ila hatujui kama hilo ndilo linatufanya...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Salam Wakuu, Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha...
2 Reactions
8 Replies
714 Views
Habari Wana Jf Nilikuwa busy mno kiasi ambacho muda mrefu sikuwa active na jf.Ndugu zangu nina rafiki mmoja wa kike ni mwanamke mzuri sana na pia yupo full package ana vitu vyote ambavyo Wanaume...
9 Reactions
35 Replies
3K Views
Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama. Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska...
27 Reactions
79 Replies
5K Views
Wakuu Naombeni Msaada. Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka...
14 Reactions
91 Replies
5K Views
Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp? Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hellow Kuna haya mahusihano unakuta mwanaume ameshona shati la kitenge sawa na mchumba wake hapa ndoa lazima ukiona mwanamke umeweza mshawishi mwanaume mpaka akashona sare na wewe kama hajakuoa...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndio, leo nimeona bora nikutafute kwa sababu wewe hata siku moja hujanitafuta...! Hunipigii simu, hunitumii hata message, basi japo ungenipigia hata kuniomba japo pesa nikutumie ila wapi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom