Je, mliooa tayari mlifikiaje kufanya maamuzi?

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
831
Wakuu nimejisoma nimegundua hii hali ya kuchaguchagua sana mwishowe unaweza usije mtu kuoa kabisa.,nimekuwa nikipitia mahusiano kadha wakadha ila bado sirizishwi na mienendo ya wenza wangu,sasa nimeona shida isije ikawa ni mimi saivi nahitaji yoyote tu.

Kuna jamaa yangu nimeisoma nae yani msela kwenye maswala ya mademu hajawahi kuumiza kichwa yani mpaka tukawa tushamjua jamaa mzee wa pisi mbovu hatari.Jamaa anaweza akawa na kidemu chembamba hakina hata tako ila yule muhuni haelewi wala nini na saivi kashaoa na life linaendelea.

Jamaa yangu mwingine yeye amefungua pub maeneo ya mbezi,huyu jamaa sijaonananae muda sana sasa wakt nimeenda kumtembelea nikamkuta Yuko na mama mtu mzima ..yani bibi ana wajukuu kabisa wakati msela ni miaka 30 tu kabla ya utambulisho nilijua tu itakuwa mkwe wake...du!cha kushangaza jamaa akanitambulisha huyu bibi ndio shemeji yangu,nilibaki nikimshangaa jamaa..sasa na mimi nasemaje sitokuwa mchaguzi tena wa ke' kuanzia leo, kwanza uzuri wa mtu au ubaya mimi haunihusu mimi naangalia anatimiza majukumu yake kama mke bhaasi..wakuu je mlio oa tayari mlifikiaje kufanya maamuzi mpka leo na mnaishi na wake zenu hadi hii leo,maana kupata chaguo imekuwa ni ishu sana.

Karibuni.
 
Siti ya mbele
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.
 
haya
 
Pia inabidi ujiulize je wanafuraha?
 
Eti hakina hata tako!

Sasa kinakalia nini. Umenivunja mbavu
 
Nasemaje.....Nasemaje...HAKUNA MWANAMKE MBAYA WALA MWANAUME MBAYA. Binadamu hawezi kuwa mbaya kwa binadamu mwenzake.

Ndo maana wazee walisema Uzuri wa mwanamke ni tabia.
 
Back
Top Bottom